Je wewe ni developer mkali wa apps?


F

Fasir

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
223
Likes
258
Points
60
Age
33
F

Fasir

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
223 258 60
Wadau kuna mtu wangu kampata investor ambaye yuko tayari ku finance project ambayo itauza hapa nchini interms of apps kwahiyo nakaribisha ideas zenu na ambazo zitakaa vizuri nitawaunganisha.. Hii ni kwa developers.. Unaanza kutaja apps ambazo umeshaweka kwa stores na description kidogo.. Hii ni kitu serious
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,157
Likes
14,967
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,157 14,967 280
Edson Jobs
 
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
3,691
Likes
914
Points
280
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined Oct 25, 2012
3,691 914 280
Kitu serious unaiweka kirahisi hivyo? Sidhani kama kuna mtu serious ataitilia maanani.
 
Ethos

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Messages
2,291
Likes
1,862
Points
280
Ethos

Ethos

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2015
2,291 1,862 280
Kama nawewe upo serious njoo PM
 
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,926
Likes
2,023
Points
280
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,926 2,023 280
huyu jamaa anatafuta project title za chuo hope final year huyu jamaa.
 
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Messages
1,006
Likes
1,310
Points
280
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2012
1,006 1,310 280
Unataka ideal za watu ukazipigie dili?
 
I

inno95

New Member
Joined
Dec 5, 2016
Messages
1
Likes
0
Points
3
I

inno95

New Member
Joined Dec 5, 2016
1 0 3
kitu siliasy imekaa simple this much? we unatafuta ideas.
 

Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060