Je wewe kama mwanaume ungefanyaje??????

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
Asubuhi unataka kusafiri mara mkeo anakuambia usubiri anakitu anataka akupatie,
wakati ukisubiri mara ghafla mkeo anakujia na box la condom anakupatia huku akikuambia

"nimeona nikupe hili box liwe kama kinga yako pindi utakapozidiwa".
Ukiwa umelipokea lile box na kuanza kuondoka mkeo anakufuata na kukuomba umpatie angalaupackets 4 za condom ili atumie pindi naye atakapo zidiwa.

Swali: wewe kama mwanaume ungefanyaje??????????
 
mhm...hapo kudanganyana tuu najua kabisa huyo anagegedwa bila ndom..ila nitamwachia box lote alafu nasepa zangu tuone atasemaje
 
Ukirudi safari, mkeo akakuta hizo condom zimepungua, yaani zimetumika atakupongeza kuwa unamjali au ndio mwanzo wa matatizo.
 
yaani simple kama kumsukuma mlevi, kaomba nne mpe 6 au nane, kisha mwambie take care baby, alafu bonge la kiss mwaaaa!
 
Kwa kawaida ya familia zetu za kiafrika, situation kama hiyo inaonyesha kabisa kuna bonge la bifu linaendelea humo ndani. Huyo mke anaku tease tu kwa kukupatia condom. anataka kukuonyesha kuwa wewe ni malaya kama kawaida yako na yeye pia anajiachia kama ujuavyo siku zote. Mnakaa pamoja lkn mapenzi zero. kama sio 'till death do us apart' kila mtu angeshika hamsini zake.
Mke akupe condom wakati unasafiri!!!!
kwanza akikuta condom ktk mfuko wa sarawili, timbwili la kufa binadam huzuka. sometimes mashitaka hadi ukweni.
 
Back
Top Bottom