Je wewe hulala bila ya nguo ya ndani ukiwa na mke, mume, au mpenzi wako?

Bila bila ni safi sana, tatizo linakuja kwenye dharura.
Kuna rafiki yangu nyumba yake iliungua moto hivi karibuni, alitoka na chupi tu mpaka barabarani wahisani wakamuhifadhi kwa shuka.

Je kama angekuwa hana hata hiyo chupi ingekuwaje...
 
Kwa wale wanaoishi uswazini nyumba hazina hata fensi, tunaomba msijaribu tochi na spoku nje nje usiku
 
Back
Top Bottom