Je wewe hulala bila ya nguo ya ndani ukiwa na mke, mume, au mpenzi wako?

Waswahili wanakamsemo kao fulani hivi, wanasema
"ukikubali kuolewa ni shurti..............."
kadhalika ukikubali kuoa pia huwa ni hivyo hivyo.

Ni vyema kama makazi yenu ni salama kulala mkiwa empty
 
Minguo ya nini kwanza mnapata shida mnapotaka kula tunda. Mimi na wife huwa tunalala kama tulivyozaliwa ila hii ni hatari maana likitokea sekeseke kama la majambazi kuna dalili ya kutolewa nje bila nguo
 
sweetlady embu kam hapa kuna mtu anakusemea siri za chumbani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom