Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?

Tofauti ni hii inatumika wapi na ile inatumika wapi; nyingine kwa ajili ya maombi ya kazi na nyingine kwa ajili ya kumuongelea marehemu; ila kitu ni kile kile, tofauti ni muda gani hii inatumika
Mkuu, bado tu unataka wasifu uwe CV! Haya tengenezeni CV mkifa zisomwe.
 
Kuna jamaa nimekutana naye mtaani, akasema ya kuwa, kusoma sana pamoja na kufanya kazi sehemu nyingi nyingi, kunasababisha CV ya mazishi kuwa ndefu.

Akimaanisha CV ya mtu aliyesoma sana na kufanya kazi sehemu mbali mbali inakuwa na kurasa nyingi, na kupelekea usomwaji wa CV hiyo kwenye mazishi kuchukua muda mrefu hata lisaa limoja.

Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?
Yangu itakuwa fupi tuu kwamba mwamba ametutoka ameacha mke na watoto.

Mungu ampokee mahali salama.Mbwembwe msibani hazisaidii kitu.
 
Back
Top Bottom