Je we ni mwaminifu kwenye uhusiano ulionao?

We jamaa uko ulimwengu gani?
Unaulizia uaminifu kwenye hii dunia inayoongozwa na shetani baba wa uharibifu?
Hamna mwaminifu hata mmoja, hata mkeo anamwegwa sana tu, subiri arobaini yake ifike, ukimkuta red handed ndio utaamini niyasemayo.
 
Ndiyo mi ni mwaminifu!! kwani kama dunia inaongozwa na shetani baba wa uharibifu ndo kila mtu awe mtumwea wake? hilo nalipinga na waaminfu wapo japo waweza kuwa wachache compared to wasio waaminifu!!
 
Mimi ni mwaminifu na ntakua mwaminifu siku zote labda.................
 
Mi ni mwaminifu sana pia. Ctarudi nyuma kwa kiapo na ahadi yanggu kwake. Hakuna mwanaume yeyote atakayenibadili kiapo changu.

Uaminifu ktk mahusiano unawezekana kama kila mtu ataamua kwa dhati toka moyoni,hamna cha nature wala nn!
 
Hongera kama unachoongea ni kweli, ee mwenyezi mungu hata me nijalie nipate mwaminifu kama huyu!
 
Ngoja uanze kutokewa na mijamaa
Mpaka utaiachia mwaaaaaa
Hapo ndipo utajua usemalo
 
ngoja uanze kutokewa na mijamaa
mpaka utaiachia mwaaaaaa
hapo ndipo utajua usemalo

kimbweka si rahisi hivyo. Nimeshatokewa na watu kibao among them wapo lecturers wangu ambao nilikua watani disco. Lakini haikuwa hivyo maana huwa nawatolea nje kiustaarabu then uhusiano wa kawaida unaendelea.

Kingine ni kuwa huwa ni muwazi sana kumwambia mr hivyo nae ananipa ushauri. Kila kitu kinawezekana kama wote mkiongea na kuwa na sauti moja. Sisi tunafurahia uhusiano wetu na haitotokea ng'o nimvulie nguo mwanaume mwingine, namshukuru mungu mwanaume wangu amekamilika kila idara kuanzia uzuri wa sura,tabia,umbo,mambo kitandani ndo usiseme na uwezo wake wa kipesa si haba,sasa kuna sababu gani ya kuhangaika nje?
 
mimi ni mwaminifu na ntaendelea kuwa mwaminifu Eeeeeeeeeeeeh Mwenyezi Mungu nisaidie
 
Katika swala la uaminifu tunahitaji maombi mengi zaidi, wanaume hawafai, jamani mm nimeshalizwa mpaka nimechoka, sijawahi kupata mwanaume mwaminifu, mpaka najiuliza tatizo ni nini? mbona mm siwezi kuhangaika? mbona mm siwezi kuchanganya wanaume wawiliwawili? wanaume hamfai kabisa nawala sitamani kuwa na mwanaume tena.
 
katika swala la uaminifu tunahitaji maombi mengi zaidi, wanaume hawafai, jamani mm nimeshalizwa mpaka nimechoka, sijawahi kupata mwanaume mwaminifu, mpaka najiuliza tatizo ni nini? Mbona mm siwezi kuhangaika? Mbona mm siwezi kuchanganya wanaume wawiliwawili? Wanaume hamfai kabisa nawala sitamani kuwa na mwanaume tena.

dear suzane usikate tamaa mama,yupo ambaye utampata na atakuwa mwaminifu mpaka ww utashangaa. Sina historia ya kulizwa na hawa raia sana,ilitokea mara moja tu na nilihisi dunia ndo basi tena. Unajua inauma sana unapokuwa mwaminifu halafu mwenzio siyo. Nikabwaga manyanga pwaa. Nikatulia karibu mwaka mzima ndipo alipotokea huyu mr perfect wangu. Mh,namshukuru mungu cna hofu kabisa.

Jitulize tu na kuwa makini maana wengi ni viwembe sana sasa watakufrustrate mama.
 
katika swala la uaminifu tunahitaji maombi mengi zaidi, wanaume hawafai, jamani mm nimeshalizwa mpaka nimechoka, sijawahi kupata mwanaume mwaminifu, mpaka najiuliza tatizo ni nini? Mbona mm siwezi kuhangaika? Mbona mm siwezi kuchanganya wanaume wawiliwawili? Wanaume hamfai kabisa nawala sitamani kuwa na mwanaume tena.

so wewe uko singo! Is that right?
 
kimbweka si rahisi hivyo. Nimeshatokewa na watu kibao among them wapo lecturers wangu ambao nilikua watani disco. Lakini haikuwa hivyo maana huwa nawatolea nje kiustaarabu then uhusiano wa kawaida unaendelea.

Kingine ni kuwa huwa ni muwazi sana kumwambia mr hivyo nae ananipa ushauri.
Kila kitu kinawezekana kama wote mkiongea na kuwa na sauti moja. Sisi tunafurahia uhusiano wetu na haitotokea ng'o nimvulie nguo mwanaume mwingine, namshukuru mungu mwanaume wangu amekamilika kila idara kuanzia uzuri wa sura,tabia,umbo,mambo kitandani ndo usiseme na uwezo wake wa kipesa si haba,sasa kuna sababu gani ya kuhangaika nje?

kwa hilo nampa mr wako hengera, wengine tukitongozwa yunaishilia nalo rohoni mana ukimshirikisha ni umeharibu kila kitu mpaka amani yako....tunashirikisha tukizidiwa kabisa, yaani ile imezidiiiii.
 
Back
Top Bottom