Je we ni Mfanyabiashara, na biashara yako ipo kisheria-soma hapa kama ndio. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je we ni Mfanyabiashara, na biashara yako ipo kisheria-soma hapa kama ndio.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Oct 12, 2012.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  wadau....ni fursa nyingine nzuri kwa wafanyabiashara au wamiliki wa kampuni flani hapa mjini, na je una nia ya dhati ya kupanua soko lako kibiashara kwa kuongeza mtaji ili kuongeza uzalishaji ama kuboresha huduma. sisi ndo suluhisho lako......tunatoa mikopo kwa makampuni ili kuwawezesha wadau kwa ujumla kukuza biashara zao. mikopo ni kuanzia mil 200 na kuendelea, na inatoka ndani ya siku 21. hamna longolongo wala buugudha. Njoo ukiwa umejipanga na umekamilika. wooote mnakaribishwa. Kwa maelezo zaidii contact...0756 517 588 or 0782 517 588.
   
 2. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hebu toa maelezo zaidi katika maswala yafuatayo:-
  • Mnatoa mikopo kwa biashara gani (uzalishaji, kilimo, etc.) ?
  • Mnatoa mikopo ya muda gani (mikopo ya miaka 3, 4, 5, etc.) ?
  • Mnahitaji dhamana (security) gani ?
  • Ninyi ni benki, saccos, ngo, etc ?

  Tupe details zaidi.
   
 3. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  * mikopo aina yote
  * ni kwa miaka 3,4,5 kama ni term loan na 1 kama overdraft
  * dhamana ni isiyo hamishika..ni lazima iwe nyimba sio shamba
  * ni benki. International commercial bank
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hamna kitu. wezi tu. international bank hata website hakuna
   
 5. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  mbona tangazo lako haliko rasmi yaan halionekani kama limetolewa na benk? wewe ni nani kwenye hiyo benk?
   
 6. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mwizi mkubwa wewe! toka lini benki ikajitangaza kienyeji kienyeji!!!
   
 7. Salim Ahmed

  Salim Ahmed Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa fedhuli kweli.Do you have any idea what International means??
   
 8. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  mkuu weka data za kutosha international commercial bank mko wapi na mwenye namba hizo hapo juu ni nani
   
 9. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jamani hiyo mi nimesema coz ni mfanyakazi wa benki kama business banking officer....na hizo ni contact zangu binafsi...call any time for further info
   
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  yale yale yamerudi
   
 11. M

  Mgengeli Senior Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania wengi ni wajasiriamali sio wafanyabiashara hamjajipanga kwa ajiri watanzania
   
Loading...