Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

nimeona wengi wakisema wameishia njiani. Jamaa kachemka kwakweli kama ndio ivyo. Bora awe anatoa nyimbo kila siku kuliko kukaa muda mrefu halafu unakuja toa yai viza kila mtu anakimbia.
Hana ubavu wa kutoa ngoma kila wakati!

Atabaki kuwadanganya misukule wake kwamba kutoa ngoma kila wakati ni kutojiamini kumbe ukweli ni kwamba, kutotoa kila wakati ndo kutojiamini kwenyewe manake kila wakati ukifikiria ngoma inaweza kubuma; unaacha kutoa!!!
 
Dada ake kaona amtetee
20180513_190316.jpg
 
Jana views walikuwa 781k now 741 k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?au umeandika kiushabiki hujaingia Youtube
Ina maana hii ni mara ya kwanza kwako kuona au kusikia suala kama hili?!

Kama hujawahi kusikia, wasome wenyewe Youtube hapa na utakuta hii:
Frozen view count
On some videos, the view count might seem frozen or not show all the views that you expect. Video views are algorithmically validated to maintain fair and positive experiences for content creators, advertisers, and users. To verify that views are real and accurate, YouTube may temporarily slow down, freeze, or adjust the view count, as well as discard low-quality playbacks.

Au pitia hii screenshot:

Youtube.png
 
Fagio linapita huko youtube.
Kama namuona baraka anavyocheka huko alipo
Pamoja na promo ya masaa 18 CMG plus kuilipa instagram kwa ajili ya promo lkn kachemka.Jamaa inabidi atulie alafu hii ni moja ya sign mbaya kwa biashara yake ya MOFAYA.Alikuwa anawapiga wenzake vijembe kuwa wananunua views,kumbe yy ndiye mnunuaji,dah king kaibika.
 
kauzi kale kengine kila mtu amesifia nyimbo haka kila mtu anacheka tu sasa sielewi wanaosifia kule hawajauona huu
 
Apambane na hali yake tu...na safari hii hata wasanii wenzie wengi wamemute.
Unafikiri wasanii wengine hawajaumia kuona King anapewa siku nzima tenza vipindi vyote vya radio na tv yeye tu what is so special with him....ndo mana wameamua kumkazia coz.....hapo ndo ajue kuwa Move za Ruge ni za kichonganishi zaidi...
 
Tuanze na wewe ulivopotea na mimi nikaenda nchi za mbali....

Mic u though

Nipo sema tuuu mambo napitaga kusoma soma mara chache chache

Nilirudi nilikutafuta sanaa but hukuepo, was worried

Missed you much.

Next time unaenda nchi za mbali tuagane basi
 
Wimbo tokea jana unapiga Mark time pamoja na promo ya masaa 18 CMG,wamelipia promo insta lkn limegoma,ngoja tuangalie labda Mange ataokoa jahazi na wafuasi wake waliomsaliti kipindi kile cha maandamano
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
 
Back
Top Bottom