Je, waziri Mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Peter Pinda kumrithi Kinana nafasi ya Katibu mkuu CCM

SALOK

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
3,318
1,936
Baada ya Rais Magufuli siku chache zilizopita kumteua waziri mkuu mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda kuwa mjumbe wa NEC CCM

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM

Kisha hivi leo kuthibitika Katibu mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana kuachia ngazi nafasi hiyo,

News Alert: - Rais Magufuli akubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake wa Uongozi

Je, Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyokuwa nayo ndani ya chama anaweza kumteua Mh. Mizengo Peter Pinda kushika wadhifa mkubwa kabisa wa kiutendaji ndani ya CCM?
Iwapo Pinda akiteuliwa anaweza kuvaa viatu vya Kinana ktk bafasi hiyo? Hakuna ajuaye ila yajayo yanajadilika!!!
 
Miaka miwili tulikuwa hatumsikii Kinana lakini mambo yalikuwa yanaenda, kwanini Mzee Pinda asiweze?

Swali ni je, atakubali/ameshakubali? Mzee alikuwa ameridhika na kilimo japo najua hiyo nafasi ina mapene.
 
Baada ya Rais Magufuli siku chache zilizopita kumteua waziri mkuu mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda kuwa mjumbe wa NEC CCM

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM

Kisha hivi leo kuthibitika Katibu mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana kuachia ngazi nafasi hiyo,

News Alert: - Rais Magufuli akubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake wa Uongozi

Je, Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyokuwa nayo ndani ya chama anaweza kumteua Mh. Mizengo Peter Pinda kushika wadhifa mkubwa kabisa wa kiutendaji ndani ya CCM?
Iwapo Pinda akiteuliwa anaweza kuvaa viatu vya Kinana ktk bafasi hiyo? Hakuna ajuaye ila yajayo yanajadilika!!!
Akitaka kujidhalilisha yeye na familia yake akubali uteuzi huo .
 
Ni rahisi kum control mpole kupita kawaida. Kipindi chake cha u pm ilikuwa bora liende. Kama mashinji tu.
 
Baada ya Rais Magufuli siku chache zilizopita kumteua waziri mkuu mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda kuwa mjumbe wa NEC CCM

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM

Kisha hivi leo kuthibitika Katibu mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana kuachia ngazi nafasi hiyo,

News Alert: - Rais Magufuli akubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake wa Uongozi

Je, Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyokuwa nayo ndani ya chama anaweza kumteua Mh. Mizengo Peter Pinda kushika wadhifa mkubwa kabisa wa kiutendaji ndani ya CCM?
Iwapo Pinda akiteuliwa anaweza kuvaa viatu vya Kinana ktk bafasi hiyo? Hakuna ajuaye ila yajayo yanajadilika!!!

Pinda? hapana.

Ni afadhali aendelee kujishirikisha na biashara zake kama ile ya "Pinda Honey".

Awe tu mjumbe wa NEC inatosha.
 
Bora hata pinda… kuna mdau eti anasema ally hapinness anaweza kuvaa viatu vya comrade
 
Back
Top Bottom