SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,318
- 1,936
Baada ya Rais Magufuli siku chache zilizopita kumteua waziri mkuu mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda kuwa mjumbe wa NEC CCM
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM
Kisha hivi leo kuthibitika Katibu mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana kuachia ngazi nafasi hiyo,
News Alert: - Rais Magufuli akubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake wa Uongozi
Je, Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyokuwa nayo ndani ya chama anaweza kumteua Mh. Mizengo Peter Pinda kushika wadhifa mkubwa kabisa wa kiutendaji ndani ya CCM?
Iwapo Pinda akiteuliwa anaweza kuvaa viatu vya Kinana ktk bafasi hiyo? Hakuna ajuaye ila yajayo yanajadilika!!!