Alipokuwa akijibu swali la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,alisema alipokuwa anatoa tamko lake jimboni kwake hakutoa kama waziri mkuu bali mbunge.
Pili alisema aliyekosea ni mwandishi wa habari hizo kwani hakuendeleza habari hizo yaani next day story.
Maswali ya kuhoji hivi alipokuwa amefika jimboni kwake alijivunia uwaziri mkuu na kuawaambia wananchi kwamba anaongelea kama mbunge?
Wananchi watajuaje anapotembelea jimbo lake kwamba amekuja kama mbunge si kama waziri mkuu?
Kama hakumaanisha kuzuia mikutano na shughuli za vyama vya siasa ni lini alitoa hadharani kutoa ufafanuzi baada ya waandishi kuposha kauli yake?
Tujadili kwa pamoja...