Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 6,764
- 13,815
daaaah maisha yanaenda kasi sanaaaa, nikikumbuka Enzi hizo na mimi najikuta fazaaa house kwa kumiliki self contained room mtoto wa watu anatoka hostel kila ijumaa mbaka jpili jioni akishinda ndani na kujipa majukumu ya ndoa akirudi hostel nakiulizwa na wenzake anajibu alikuwa "kwake" na mwisho wa siku ananogewa na kuhamia kabisa masikini, hapo anakubali kuingia rasmi kwenye ndoa ya mkataba wa miaka 3,
Tukubali tu maisha ya chuo kikuu ni akili kumkichwa, sio wote wanaoanza hivyo wanaishia kuachana baada ya chuo kuisha, wapo ambao nawafahamu walifika mbali kwenye mahusiano yao.
Tukubali tu maisha ya chuo kikuu ni akili kumkichwa, sio wote wanaoanza hivyo wanaishia kuachana baada ya chuo kuisha, wapo ambao nawafahamu walifika mbali kwenye mahusiano yao.