Je waweza watambua maselebu hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je waweza watambua maselebu hawa?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Sep 24, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Nawatakia weekend njema nyote.................
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Viatu vya huyo wa kiume ndio... Ni vya Kanumba!
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Ina maana kaazima au>dah bongo noma viatu mtungo kama kawa
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Dah demu mbendembende
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  duh demu ka kiwia I !!!!!!
   
 6. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huyu wa kiume anakaa Tandika na huyu wa kike anakaa Kigogo, ni wasanii wa maigizo lakini hawana umaarufu wa kutosha, ndio maana hata pamba zao na viatu ni ni vile vya kichina.
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hilo sichana ni lile dege lisilofugika ambalo kila siku liko kurasa za mbele za magazeti ya udaku wenyewe wanaliita staa wa bongo ila hilo gudu gudu jingine sina uhakika nalo maana nimelifananisha na jibonge moja toto la mbunge na msanii maarufu anayekaa jirani na tangi bovu
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Kaharibu kwakuvaa ngwasuma ya kichina!!
   
Loading...