Je, Waweza wafanyia Hivi Wazazi Wako Siku Ya Birthday Yao?

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Igweeee!

Kutokana na maendeleo ya sayansi na tekonolojia kumekuwa na mabadiliko makubwa sana ya mfumo wa maisha katika jamii yetu hapa duniani. Mambo mengi yamebadilika, mfumo walioishi mababu zetu huko miaka ya 20-80 ni kama imefunikiwa ama kupotezwa kabisa na mfumo mpya ulioanza mwishoni kabisa mwa miaka ya 80.

Sasa hebu angalia video fupi jinsi kijana alivyowafanyia wazazi wake. Halafu tujiulize Je, Na wewe waweza wafanyia wazazi wako hivi?!!!!

Karibuni

View attachment 1567729
 
Back
Top Bottom