Je watu watanifikiriaje?

“WATU WATANIFIKIRIAJE?
Neno hili limeua ndoto za watu wengi sana. Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwenye mambo mengi kwa sababu ya neno
“WATU WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE?
Mkuu, na hili neno limevunja mioyo ya vijana wengi sana ambao ndio kwanza wameleliza vyuo, wanaogopa kuosha magari kwasababu eti watu watasemaje/watanionaje
 
“WATU WATANIFIKIRIAJE?
Neno hili limeua ndoto za watu wengi sana. Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwenye mambo mengi kwa sababu ya neno
“WATU WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE?
Watu wengi sana tumekuwa tukijikuta tunashindwa kufanya maaamuzi muhimu Katika Maisha tu Kwa kuogopa "WATU WATANIONAJE "
hii Watanionaje Syndrome ni ugonjwa mmbaya sana sababu ni Kitu ambacho ni beyond your control..... Huwezi control vile watu wanafikiria juu yako hata ukifanya jambo in good faith yaani kwa nia njema kabisa jua tu kuna watu wata kutafsiri vingine.... Utasikia.. ..hana lolote.... Anajifanya anajua..... Ana agenda ya siri..... .sio hivi hivi kuna mkono wa mtu..... Ni baadhi tu ya maneno watu watakusema.... Cha msingi weee tenda wema nenda zako usijali watu Watanionaje. Jali katika hili Mungu ananionaje .
Nikitaka nibaini una akili ya kusonga mbele , sitaona huu ugonjwa wa watu watanionaje
Mimi mwenyewe natuma na kupost hizi jumbe katika facebook , forums mbalimbali , ili angalau mtu mmoja tu afunguke kichwani na kumshukuru Mungu.
Nilifanya uchunguzi
Huu ugonjwa " WATU WATANIONAJE " umewashika wengi na ndiyo unaleta umaskini sana kwa vijana. simu kubwa ya laki 8, mtaji huna pumbavu wewe!!!!!!, lazima utakuwa na haka kaugonjwa njoo tukuombee , urudi katika mstari
Be inspired kwa injili ya kisasa kwa watu wa kisasa.

Nimemnukuu uvugizi
 
Tatzo la ngozi nyeusi, mtu akishakuwa na uhakika wa kula na pesa za kubadili mboga anawaona wenzanke wote ambao hawajafikia hali kama yake ni wazembe, wasio na maono, wavivu, mizigo nakadhalika nakadhalika ... Kiuhalisia vijana sasa wanapambana ni njia zao tu bado hazijafunguka tusiwalaumu, fursa na mitaji kwa karne na mazingira ya sasa yamekuwa magumu kwao kutoboa..., magraduate wengi wanafanya kazi ambazo ni vigumu hata kujua kama anaefanya ni mhitumu wa chuo, wanavuja jasho kwelikweli huko mtaani lakini wanachokipata ni kidogo sana. Mkono wa bwana uwe nanyi vijana wote wapambanaji
 
Blesss
Tatzo la ngozi nyeusi, mtu akishakuwa na uhakika wa kula na pesa za kubadili mboga anawaona wenzanke wote ambao hawajafikia hali kama yake ni wazembe, wasio na maono, wavivu, mizigo nakadhalika nakadhalika ... Kiuhalisia vijana sasa wanapambana ni njia zao tu bado hajifunguka tusiwalaumu, fursa na mitaji kwa karne na mazingira ya sasa yamekuwa magumu kwao kutoboa..., magraduate wengi wanafanya kazi ambazo ni vigumu hata kujua kama anaefanya ni mhitumu wa chuo, wanavuja jasho kwelikweli huko mtaani lakini wanachokipata ni kidogo sana. Mkono wa bwana uwe nanyi vijana wote wapambanaji
 
Watu wengi sana tumekuwa tukijikuta tunashindwa kufanya maaamuzi muhimu Katika Maisha tu Kwa kuogopa "WATU WATANIONAJE "
hii Watanionaje Syndrome ni ugonjwa mmbaya sana sababu ni Kitu ambacho ni beyond your control..... Huwezi control vile watu wanafikiria juu yako hata ukifanya jambo in good faith yaani kwa nia njema kabisa jua tu kuna watu wata kutafsiri vingine.... Utasikia.. ..hana lolote.... Anajifanya anajua..... Ana agenda ya siri..... .sio hivi hivi kuna mkono wa mtu..... Ni baadhi tu ya maneno watu watakusema.... Cha msingi weee tenda wema nenda zako usijali watu Watanionaje. Jali katika hili Mungu ananionaje .
Nikitaka nibaini una akili ya kusonga mbele , sitaona huu ugonjwa wa watu watanionaje
Mimi mwenyewe natuma na kupost hizi jumbe katika facebook , forums mbalimbali , ili angalau mtu mmoja tu afunguke kichwani na kumshukuru Mungu.
Nilifanya uchunguzi
Huu ugonjwa " WATU WATANIONAJE " umewashika wengi na ndiyo unaleta umaskini sana kwa vijana. simu kubwa ya laki 8, mtaji huna pumbavu wewe!!!!!!, lazima utakuwa na haka kaugonjwa njoo tukuombee , urudi katika mstari
Be inspired kwa injili ya kisasa kwa watu wa kisasa.

Nimemnukuu uvugizi
Fact
 
Kuna fursa nimeiona sehemu naamini nikiifanya kwa mtaji mdogo tu naweza kuingiza faida ya 15000 kwa siku kama nitaifanya mwenyewe.
Lakini hadi sasa bado nawaza WATU WATANIONAJE. WATANIFIKIRIAJE. watu wanaonijua wakioniona watanichukuliaje.

Bado nawazawaza hapa ila kesho nitajitahidi niifanye hiyo fursa.
 
We acha tu... Kama ningekua na ujasiri wa kuanza maisha bila kfikiria watu watasemaje nadhani leo hii ningekua mama mwenye nyumba. Ilikua kila nikitaka kuanza kichakarika nafikiria waty watanionaje... Na degree lake... Ila saivi I don't care... Nawatangazia ubuyu, mitumba na saa bila wasiwasi.
 
Kuna fursa nimeiona sehemu naamini nikiifanya kwa mtaji mdogo tu naweza kuingiza faida ya 15000 kwa siku kama nitaifanya mwenyewe.
Lakini hadi sasa bado nawaza WATU WATANIONAJE. WATANIFIKIRIAJE. watu wanaonijua wakioniona watanichukuliaje.

Bado nawazawaza hapa ila kesho nitajitahidi niifanye hiyo fursa.
Fursagani iyooo, nikajua manengelo iyo avatar
 
Kuna fursa nimeiona sehemu naamini nikiifanya kwa mtaji mdogo tu naweza kuingiza faida ya 15000 kwa siku kama nitaifanya mwenyewe.
Lakini hadi sasa bado nawaza WATU WATANIONAJE. WATANIFIKIRIAJE. watu wanaonijua wakioniona watanichukuliaje.

Bado nawazawaza hapa ila kesho nitajitahidi niifanye hiyo fursa.

Hukuja duniani na mtu..ww fanya hata kam ni kuzibua mitaro mkuu
 
Alafu hili wengi ndo linawaangusha watu sana! ahaya maneno mm hata jana usiku tu nimeulizwa na wamama...hivi ww mwanangu mbona unaamua kuchafuka hv na wakati ww tayari ushayapatia maisha😂😂😂! unabaki unashangaa..nimeyapTia maisha?then?ishu ni kukimbizana na muda! ukiwa huna haya popote utaishi na utatusua!
 
Solution ni kuhama mkoa uende sehemu ambapo hufahamiki na ufanye hicho unachoona kitakutoa kwenye hali yako
 
Alafu hili wengi ndo linawaangusha watu sana! ahaya maneno mm hata jana usiku tu nimeulizwa na wamama...hivi ww mwanangu mbona unaamua kuchafuka hv na wakati ww tayari ushayapatia maisha! unabaki unashangaa..nimeyapTia maisha?then?ishu ni kukimbizana na muda! ukiwa huna haya popote utaishi na utatusua!
nimepatia maisha??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom