Je, watu waliopo kwenye mahusiano wanaweza kukaa muda gani bila kufanya mapenzi?

Ukimpiga chini bila kusex mbona fresh tu
Yah mapema sana.
Alishaanza kuniletea story za ndoa sijuii commitment nk kumbe muhuni nina mipango yangu ya hit an run.
Demu kakomaa kinoma no sex till marriage nikajua anazuga tu zile za kawaida. Hee naona anakuwa serious ndoa sijui sijui natambulishwa ndugu mara anapanga mipango ya miaka kumi nk nikaona sasa huyu noma. Nikapiga chini haraka sana kabla haijawa too late
 
Ndio dawa yenu mnaojifanya hit and run, mtahit na kurun kwa wenzenu mnaofanana nao
 
Labda niwe kwenye siku zangu.

Ila siku zingine avae ki boxer chake hapo kifua wazi akae kihasara hasara kwenye kochi hapo ama anakatiza katiza tu nimuache tu bila hata kumminya kengele? Ninae!!

Daadeqi.
 
Kuna demu mmoja kaniletea izo story nimetoka kupiga chini juzi kati tu.
Yaani nikae na mwanamke kwenye relationship bila sex asee hapana kwa kweli
wewe ndiyo uko kama mimi, anizungushie kitako hapooo! eti naona tuu hata ka ni dada yangu ajipange sana.
 
fungeni ndoa bila sherehe na muutangazie umma kuwa nyinyi ni mume na mke.
wewe umevuka mipaka pastor gani atakubali kukufungisha hivi? watu lazima watangaziwe kanisani, km kuna mwenye kupinga au mwenye kuongezea, yaani mambo hadharaniiii!!!!!!!!!

ukienda Bomani unafutwa Ushirika wa kanisa, kwa visngizio kwamba mmefungia kwa shetani.
 
Kujenga mazingira ya kukaa na jinsia tofauti bila matamanio kunasaidia sana. Ndiyo maana shule tukiwekewa school disco na wavulana wa single sex school tulikutana na kucheza.

Mpenzi wako mnakaa na ukiona hali inaendea kuwa hatari badilisheni mazingira. Kama mko chumbani tokeni nje mpate fresh air.

Kama mambo yana kuwa magumu fungeni ndoa bila sherehe na muutangazie umma kuwa nyinyi ni mume na mke.
Sasa umeongea nini na wewe bimkubwa,kiufupi haiwezekani maybe uwe sio perfect men/women.
 
Back
Top Bottom