Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,941
Enzi zetu na mussa tulkua tunatumia mikojo
Miti gani hiyo na midaa ni nini?Walitumia miti ya miswaki na midaa. Ambayo leo hii inatambulika kisayansi kuwa ni bora kuliko dawa za meno na miswaki ya viwandani.
Binafsi natumia hiyo miswaki na midaa. Niliacha miaka mingi sana kutumia dawa na miswaki ya viwandani.
Jisomee tafiti zilizofanywa kuhusu miswaki...
Miswak: Scientific oral health benefits and the potential of its application in preventive dentistry – The Deen Show
Greetings of Peacewww.thedeenshow.com
Kiukweli unakera sana humuEnzi zetu na mussa tulkua tunatumia mikojo
Mdaa ni lugha ya singapore. Mfubhata ni lugha inayoongewa sana sawa kama lugha ya taifa tu.Mdaaa mti ukiutafuna unakuwa njano.
Basi sawa mkuuKiukweli unakera sana humu
Tena inawezekana wao ndio walikuwa na dawa nzuri kuliko sisi.......Vitu vyote ni marudio tu sema tuna PIMP(kuboresha tu kimuonekano).Hakuna jipya Chini ya jua
Mdaa ni lugha ya singapore. Mfubhata ni lugha inayoongewa sana sawa kama lugha ya taifa tu.
Walisugutua kwa maji.Je watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao ?!
Watu Kama akina Musa n.k
Miti ya miswaki ipo aina nyingi lakini maarufu ni huo unaitwa "mswaki".Miti gani hiyo na midaa ni nini?
Je watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao ?!
Watu Kama akina Musa n.k
Mi set a gwan man...duh ymusa
huyo nuh atakuwa ni mjamaika nuh mean bomboclati
aliyeelewa anitagi!