Je, watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao?!

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,207
1,755
Je watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao ?!

Watu Kama akina Musa n.k
 
Alafu eti chukulia unaambiwa faraoh alikuwa anatema dah au akina suleiman utaaminije
 
Huku nilipo habari ya dawa ya Colgate sijui whitedent hakunaga

Huku tunatumia miti na kinywa hakinuki
 
Watu Kama akina Musa n.k
Walitumia miti ya miswaki na midaa. Ambayo leo hii inatambulika kisayansi kuwa ni bora kuliko dawa za meno na miswaki ya viwandani.

Binafsi natumia hiyo miswaki na midaa. Niliacha miaka mingi sana kutumia dawa na miswaki ya viwandani.

Jisomee tafiti zilizofanywa kuhusu miswaki...

 
during the first world war, doctors walitoa angalizo kuhusu dental health ya wanajeshi kama one of the risk factors
it seems daily tooth brushing was not a norm maana biashara ya toothpaste ndo imeleta hoja ya daily tooth-brushing

google on the history of Pepsodent (must be the first commercial toothpaste)
 
Kuna Mjukuu wangu aliwahi kuniuliza Zinjanthropus aliwezaje kuishi Miaka billion 3 bila ya kupiga Mswaki?
 
Mmasai hajui colgate ila anapiga mswaki kwa kutumia dawa za asili na maisha yanaenda. Watu wa zamani walitumia dawa za asili
 
Back
Top Bottom