Je, watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao?!

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
6,572
2,000
Walitumia miti ya miswaki na midaa. Ambayo leo hii inatambulika kisayansi kuwa ni bora kuliko dawa za meno na miswaki ya viwandani.

Binafsi natumia hiyo miswaki na midaa. Niliacha miaka mingi sana kutumia dawa na miswaki ya viwandani.

Jisomee tafiti zilizofanywa kuhusu miswaki...

Miti gani hiyo na midaa ni nini?
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,521
2,000
Miti gani hiyo na midaa ni nini?
Miti ya miswaki ipo aina nyingi lakini maarufu ni huo unaitwa "mswaki".

Midaa niijuayo ni aina mbili, upo wenye kutoa rangi na huufanya mdomo kuwa mwekundu ukiutumia na upo ambao hautowi rangi. Ladha ni hiyo hiyo ya ukali mdomoni.

Miti ya miswaki hutegemea na nchi na sehemu uliyopo. Kama upo Dar nenda Kariakoo utaipata. Kama upo nje ya Dar uliza wazee.

Miswak tree is a small tree or even a shrub that can grow on dunes, or which live along river banks. The Miswak Tree has many different names across different cultures. Like any tree Salvadora Persica has fruits. They are fleshy berries about 1 cm in diameter.
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,483
2,000
Mbona ipo miti special kwa hilo ? Umekulia Sinza nini ? 0
Kwetu Tbe ipo miti flani hivi ni mizuri watu wametumia sana pia ilipatikana sehemu tofauti nchini...na si mswaki tu pia dawa za maradhi mengi za kienyeji zilikuwepo,zipo na zitaendelea kuwepo
 

DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,917
2,000
Walitumia miti shamba kusafishia Meno na baadhi ya miti ni dawa
Je watu wa zamani kabla ya kugunduliwa dawa ya meno Kama colgate, whitedent n.k walisafishaje vinywa vyao ?!

Watu Kama akina Musa n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom