Je, Watetezi wa Maslahi ya Watanzania Wakutumainiwa ni Wangapi Hadi Sasa Dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Watetezi wa Maslahi ya Watanzania Wakutumainiwa ni Wangapi Hadi Sasa Dodoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uwezo Tunao, Nov 25, 2010.

 1. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Licha ya UCHAKACHUAJI mkubwa unaosadikiwa kutendeka kwenye Uchaguzi wetu Mkuu mwaka huu hajachangia tu

  Uchakachuaji utakua umepunguza sana idadi ya WATETEZI WA MASLAHI YETU SISI WANYONGE. Lakini uzoefu unaonyesha kwamba wabunge WATETEZI WA WANYONGE wasionunulika na mtu wala kulazimishwa kufwata mkondo fulani wa FIKRA bila kujiamulia mwenyewe mara nyingi hutumia gharama ndogo sana kwenye Uchaguzi. Wale wenye kutetea MASLAHI NYINGINEZO hujitahidi kumalizana na sisi pale kwa pale na tusimjue tena hadi miaka 5 ipite.

  Mbali na watu WAPAMBANAJI WAZOEFU kwa upande wa CCM kama (1) Ole Sendeka, (2) Mama Malecela, (3) Sitta, na (4) Mwakyembe, kati ya wengi ambao sijawataja hapa, WAPAMBANAJI bado wapo??

  Je, kwa mazingira ya aina hiyo unafikiri leo hii huenda tukawa na WAPAMBANAJI WANGAPI wa kutegemewa kutetea maslahi yetu na kuendelea kutumainiwa siku zote kunapojitokeza kuamulia JAMBO LOLOTE AMBALO LIKO KARIBU SANA NA MIOYO YETU kule bungeni Dodoma???
   
Loading...