Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo.
 
Unawezaje kutembea barabarani ukiwa na mwili tu moyo umeuacha nyumbani kwenu?Demokrasia na maendeleo havitengani.Kama mnataka kutengeneza uchumi wa urembo katika vitu na siyo watu basi mtachekesha kama China na Ethiopia ambayo wananchi wao wanatoroka kutafuta maisha nchi nyingine.Halafu:Ni nini hasa mnaogopa kui-impliment demokrasia?Mnataka kuficha nini?
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Kila kitu kina umuhimu wake, refer to what happen in Libya, walikuwa na maendeleo na kila huduma walipewa ila walinyimwa Demokrasia. Libya ya sasa imekuwa siyo ile ya kipindi cha Mohhamed Gaddafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekuja kwenye pointi libya wamepata demokrasia wanayoitaka je unahisi wanaishi vizuri je kwa nini wanapigana sasa hivi embu tusiwe wajinga wa kushikiwa akili na hao wakoloni wanaotaka kuzivuruga nchi zetu kwa kile wanachoiita demokrasia look at saudia arabia wanavyoish ndo utajua demokrasia ni upupu
 
K
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Kwani demokrasia siyo maendeleo we zwazwa! Au maendeleo kwako ni barabara tu. Kuna wengine demokrasia ndo maendeleo ambayo yanaleta barabara endelevu siyo hizi barabara za kujengwa kisiasa ambazo ndani ya mwaka tu yanageuka mashimo
 
Kwako ww Maendeleo nini?
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna maendeleo bila Demokrasia. Hata unayemuona wewe leo ni mzalendo kupita wote ni zao la demokrasia na bila hiyo Demokrasia anayoikanyaga hiyo nafasi angeisikiaga tu maana hakuna mtu angemfikiria na yeye anajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyo onekana ume karirishwa Sababu mtiririko wako hautofautiani na Ngojera ,yani kama Kasuku vile.
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo

Mkuu tunaomba Elimu ya Demokrasia ,tufafanulie tafadhali maana nzima ya Demokrasia ili na sisi tujue isije ikawa tuna ng'ang'ana na visivyo faa.
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Wewe utakuwa musiba umekuja na id nyingine maana haya ni 100% mawazo ya kiccm, demokrasia na maendeleo ni sawa na mche na kinu bila kinu au mche ugali hauliwi siku hiyo
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Exactly!

Makaburu wa Afrika ya kusini walijenga miundombinu, walifunga watu jela, waliua watu, waliwanyima watu Uhuru, kama inavyofanya serikali ya Jiwe. Walipingwa na kisha kuondelewa madarakani kwa kunyima haki za watu. Hakuna mbadala wa UHURU.
 
Hakuna maendeleo bila Demokrasia. Hata unayemuona wewe leo ni mzalendo kupita wote ni zao la demokrasia na bila hiyo Demokrasia anayoikanyaga hiyo nafasi angeisikiaga tu maana hakuna mtu angemfikiria na yeye anajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi saudi arabia hawana maendeleo,je libya ya gadaffi na ya leo yenye demokrasia ipi ina maendeleo , Tuangalie kati ya Brunei na marekani wapi wanamaisha mazuri bado ujaongelea qatar
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom