Je, Watanzania tuishio/waishio nje wamewekewa mazingira ya kupiga kura 2020?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
30,000
Naona kila nchi ikiwa busy kuwapa haki watu wake , Kenya, Nigeria Ghana, South Afrika wote walio kuwa wanaishi nje ya nchi zao kulikuwa na utaratibu maalumu wa kuwaruhusu kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi zao, sasa naona katika kipengele kingine kwa nchi ya Senegal kimeongezwa Diaspora nao watapiga kura,

Je sisi watanzania twajua kwamba ni haki yetu kuwachagua viongozi katika nchi yetu?

Nimemtembelea Balozi fulani sitamtaja kwa Usalama wake, amenieleza mengine nje na mambo ya uchaguzi Kwamba

Pamoja na Kwamba ishaamuliwa na Chama kuwa Magufuli asigombee tena kutokana na maradhi yanayomkabili kwa siku za karibuni, Ila wanadhani Ni ngumu kumueleza hilo kwakuwa jamaa Ni mgumu na mbishi, Majukumu ya Urais Ni mazito mno kulingana na afya yake, Wenda akigombea na akapita kwa asilimia walizopanga iwe 90+ yawezekana taifa likaweka History ya Kurudia uchaguzi kabla ya 2025 au Surbodinate kuongoza nchi, Tumuombe sana!

Sasa
Kwakuwa Sisi tunanyimwa haki ya kumchagua mtu anayetakiwa kuongoza,

Leo hii duniani hatuna nafasi tena huku, tunadharauliwa, kwa mitazamo hasi ya viongozi wetu juu ya Masuala ya kidunia,

Nadhan tuna haki ya Kupiga Kura

Britanicca
 
Back
Top Bottom