Je Watanzania Huwa Na Nyimbo Za Kikabila Zinazosifika?

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
774
723
Kwa kuwa watanzania wengi hawaijui lugha yao ya baba na wale wanaoijua hawapendi kuiongea hadharani, kuna nyimbo ambazo zimetungwa kwa lugha hizi huko na ambazo zimewika?

Katika tamasha za muziki za shule za upili, kuna kitengo cha nyimbo za utamaduni?

Huu ni wimbo mmoja wa kiluhya ambao umewika sana haswa katika Jamii ya waluhya, na pia imependwa na watu kutoka jamii tofautitofauti. Kwa maoni yangu, naona ni vigumu sana kupata mtiririko wa wimbo huu kwa lugha ingine ile. Kuna pahali ambapo wimbo huu unakugusa kiasi kwamba wimbo uliyoimbwa kwa kiswahili au kiingereza hauwezi kufikia.

Wewe mbulula,hata hujui umelipa pesa kiasi gani kwenda kuangalia matamasha ya saida kalori anayeimba kwa lugha ya kihaya?

Halafu likizo inakaribia kuisha urudi shule ututolee upuuzi wako hapa
 
Likizo ya shule ni hapo Tz. Hapa Kenya watoto wako skuli, naona school buses mobb barabarani, watoto wanarejeshwa manyumbani.
 
Wabongo majirani wapendwa japo mara kwa mara ni watundu, langu swali tu: je mnayo mashindano haya ya muziki / uigizaji kwa mashule zenu?
 
Yapo!

Kwa shule za msingi yanaitwa UMITASHUMTA (Umoja wa michezo na taaluma, shule za msingi tanzania) Yanaanzia ngazi ya shule hadi national level!

Kwa ngazi ya secondary yanaitwa UMISSETA (Umoja wa michezo, shule za secondary Tanzania) nayo yanaanza ngazi ya shule hadi ngazi ya taifa

Hivyo basi michezo yote kama mpira wa miguu, kikono pete, kuimba, kuigiza, ngonjera, mashairi, riadha, nk hufanyika kipindi hiki!
 
Safi. Natafuta uzi wake humu JF, sipati. Mimi niliwahi kuigiza nikiwa shule ya msingi/upili
 
Saida karol alikua anaimba
Kikuyu au kijaluo?

Wakenya bhana kwa kujigamba yan kila kitu
Nyievtu ndo mko nacho
 
Pengine uzi unaweza ukawa haupo, lakini ukiuliza wasanii wengi watakwambia wameanza kazi zao tangu wakiwa shule, kanisani au msikitini!
 
Saida karol alikua anaimba
Kikuyu au kijaluo?

Wakenya bhana kwa kujigamba yan kila kitu
Nyievtu ndo mko nacho
Mpaka sasa hivi anaimba maana ana wimbo mpya!

Pia kwenye sherehe zote za kitaifa lazima utakuta kuna kikundi cha asili kinaitwa kitumbuiza ampapo vingi vya vikundi hivi huimba baadhi ya nyimbo kwa kilugha!
 
Wewe mbulula,hata hujui umelipa pesa kiasi gani kwenda kuangalia matamasha ya saida kalori anayeimba kwa lugha ya kihaya?

Halafu likizo inakaribia kuisha urudi shule ututolee upuuzi wako hapa

Ni swali nilikuwa nauliza. Wacha povu. Kwa kweli nakumbuka kuna wimbo wa saida ambao ulikuwa na maneno fulani ambayo hayakuwa ya kiswahili
 
MwendaOmo,

Unataka kujua kabila unataka kutambika! Msikilize Mwalimu Nyerere kuhusu matatizo ya kuendekeza ukabila kwa kisingizio zaidi ya matambiko

Greate leaders fail spectacularly na hapo ndipo Nyerere alianguka vibaya sana. Analosema ni jambo la upuzi sana. Kwanini kaitwa Julius Nyerere? Kwanini asibadilishe majina yake yawe ya waswahili? Mkosa mila ni mtumwa
 
Saida karol alikua anaimba
Kikuyu au kijaluo?

Wakenya bhana kwa kujigamba yan kila kitu
Nyievtu ndo mko nacho
Kuna la kujigamba pale? Ni swali nilikuwa nauliza. Kweli nyie mmejawa na inferiority complex. Kwani kila kitu unaona tu ni Kenya vs Tanzania competition? Haha..Mko na shida kweli
 
Nyimbo za Kisukuma nadhani ndizo zipo kadhaa zinazobamba...
Na kuna Moja kaimba Hamza Kalala ..... ni mwana Ngosha .... Sunda sunda

Greate leaders fail spectacularly na hapo ndipo Nyerere alianguka vibaya sana. Analosema ni jambo la upuzi sana. Kwanini kaitwa Julius Nyerere? Kwanini asibadilishe majina yake yawe ya waswahili? Mkosa mila ni mtumwa

Mkuu,
Mila na matambiko sahihi yapo na yanaheshimiwa sana ila Ukabila unapigwa vita endelevu Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa taifa moja.
 
Back
Top Bottom