Kwa kuwa watanzania wengi hawaijui lugha yao ya baba na wale wanaoijua hawapendi kuiongea hadharani, kuna nyimbo ambazo zimetungwa kwa lugha hizi huko na ambazo zimewika?
Katika tamasha za muziki za shule za upili, kuna kitengo cha nyimbo za utamaduni?
Huu ni wimbo mmoja wa kiluhya ambao umewika sana haswa katika Jamii ya waluhya, na pia imependwa na watu kutoka jamii tofautitofauti. Kwa maoni yangu, naona ni vigumu sana kupata mtiririko wa wimbo huu kwa lugha ingine ile. Kuna pahali ambapo wimbo huu unakugusa kiasi kwamba wimbo uliyoimbwa kwa kiswahili au kiingereza hauwezi kufikia.