Je Watanzania Huwa Na Nyimbo Za Kikabila Zinazosifika?

Kwani Maria Salome ya Diamond na Saida Karole si ya kikabila? Na Kigoma Dugitige? Je nyimbo za linex Kimugina na nyinginezo. Na Je AT Atentera. Kuna nyimbo nyingi za Mdumange kama Segera zinachezwa mpaka club ila higher quality In short hamna pa kutokea kama Kenya.
 
Greate leaders fail spectacularly na hapo ndipo Nyerere alianguka vibaya sana. Analosema ni jambo la upuzi sana. Kwanini kaitwa Julius Nyerere? Kwanini asibadilishe majina yake yawe ya waswahili? Mkosa mila ni mtumwa
Julius kambarage Nyerere!

Jina lake la asili ni Kambarage! Nani hana mila hapo kati yake na yeye ambaye unatumia fake ID hapa
 
Hivi wafahamu maana ya Mother Tongue? maana huwezi sema Black Americans hawajui kuongea Mother tongue...
Nimekupa hiyo link ili upitie mijadala ya huko upate elimu maana sio kuniuliza kujua maana ya mother tongue! Hilo swali anapaswa kuulizwa mwanangu
 
Asante mkuu. Kuna wakati niliona video kama ingawa sikujua ni watu wa nchi gani. Kilo chombo kinachopigwa pale na yule kijana ambaye amevaa red kinaitwa ishiriri kwa lugha yangu.

Sio Watanzania wote huwa wametelekeza asili yao, hususan Watanzania wanaoishi kwenye mipaka na nchi jirani. Ukiangalia kwa mfano huyo Saida Kaloli ametokea kwa Wahaya, nyimbo zake huwa zinapendwa sana Uganda maana Wahaya wapo mpakani na nchi hiyo.
Ukienda hata kule Kigoma wanapenda sana kucheza nyimbo zao za asili maana wamepakana na Warundi. Pia ukienda kwa Wanyakyusa kule Mbeya unakuta wamekaribiana na Zambia, Kwa kifupi ukiangalia Watanzania ambao bado wanapenda lugha zao za asili utakuta kwa njia moja au nyingine wanatengamana na makabila ya kutokea nchi jirani.
Lakini ukiingia ingia ndani wengi hata hawajui salamu kwa lugha za asili, kazi kuvaa milegezo hapo Dar na kupaka 'poda'.
 
Ben pol anatoka Dodoma katikati ya nchi na ana nyimbo za kilugha pia..
Wasukuma pia wana nyimbo zao ingia youtube. Hata Lady Jaydee (Judith Wambura) ana nyimbo za kilugha. Mwache kujilazimishia ujuaji mkitaka kujua kama Watanzania wako pia fit huko leteni tamasha la nyimbo za kikabila muone kama mtaweza gemu. The largest traditional music festival in Africa is Sauti za Busara that takes place in Zanzibar every year!
 
TatuNane in Milkyway, Amsterdam 1990
From http://watafiti.com - TatuNane award winning videoclip in Milkyway - Amsterdam, best upcoming African Band (Radio France 1990) from Tanzania. Song Titles "Masai Song" and "Msewe" (videoclip by Han Sloos). For a Stereo Version of this clip

source: Bwana Kiki
 
Ethno Croatia 2011 - Tanzanian song - Hoye Hoye U tamaduni

Kauzeni Lyamba from Tanzania playing the nose flute, and all the other Ethno Croatia 2011 participants.

We started to have pouring rain by the end of our concert in Grožnjan, Croatia, on the 19th of July 2011. The last song of the concert was performed in a small hall near the stage.
 
Ben pol anatoka Dodoma katikati ya nchi na ana nyimbo za kilugha pia..
Wasukuma pia wana nyimbo zao ingia youtube. Hata Lady Jaydee (Judith Wambura) ana nyimbo za kilugha. Mwache kujilazimishia ujuaji mkitaka kujua kama Watanzania wako pia fit huko leteni tamasha la nyimbo za kikabila muone kama mtaweza gemu. The largest traditional music festival in Africa is Sauti za Busara that takes place in Zanzibar every year!

Nimesema Watanzania waliopakana na mataifa majirani bado hawajawa watumwa, wamefaulu kudumisha asili zao, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wamaasai n.k. Lakini wengine wote walishamezwa, wengi hata hawajui salamu kwa lugha zao.
 
HUU NI WIMBO WA ASILI AMBAO NI WA WENYEJI WA MKOA WA RUVUMA NCHINI TANZANIA.
WIMBO HUU UNAPATIKANA KWENYE ALBAM MWANA WA SHULI SHULI, MAANA YAKE MTOTO WA SHULE.

KENGE by Namchunga Komba

Source: Godwin Tamba
 
Sio Watanzania wote huwa wametelekeza asili yao, hususan Watanzania wanaoishi kwenye mipaka na nchi jirani. Ukiangalia kwa mfano huyo Saida Kaloli ametokea kwa Wahaya, nyimbo zake huwa zinapendwa sana Uganda maana Wahaya wapo mpakani na nchi hiyo.
Ukienda hata kule Kigoma wanapenda sana kucheza nyimbo zao za asili maana wamepakana na Warundi. Pia ukienda kwa Wanyakyusa kule Mbeya unakuta wamekaribiana na Zambia, Kwa kifupi ukiangalia Watanzania ambao bado wanapenda lugha zao za asili utakuta kwa njia moja au nyingine wanatengamana na makabila ya kutokea nchi jirani.
Lakini ukiingia ingia ndani wengi hata hawajui salamu kwa lugha za asili, kazi kuvaa milegezo hapo Dar na kupaka 'poda'.
Katikati unamaanisha mkoa upi ili nikupe nyimbo za makabila ya mikoa hiyo?
 
Nimesema Watanzania waliopakana na mataifa majirani bado hawajawa watumwa, wamefaulu kudumisha asili zao, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wamaasai n.k. Lakini wengine wote walishamezwa, wengi hata hawajui salamu kwa lugha zao.
Nasubiri unitajie hao watanzania waliomezwa ili nikupe nyimbo zao upate burudani
 
Achana na hili Bwabwa linapenda kujizushia linachojua juu ya wengine. Linashindwa kujua utamaduni upo na linapokuja suala la mjumuiko na makabila mengineyo kabila na lugha ni utani na burudani tu maana tuna Kiswahili kila Mtanzania anaongea. Unawakuta Wakikuyu wawili mbele ya kundi la wasio Wakikuyu wakiwasengenya mbele yenu tena bila ya aibu. Huo ujima tuliacha siku nyingii kwa kupitia ustaarabu wetu kama Taifa.
 
Nasubiri unitajie hao watanzania waliomezwa ili nikupe nyimbo zao upate burudani

Nyimbo wanazo sijabisha hilo, maana kila kabila dunia hii lina nyimbo zake za asili kama ilivyo kwamba wana lugha zao za asili, lakini ninachosema ni kwamba walishazitelekeza. Kupata nyimbo za asili sio issue, mbona kazi ya dakika chache tu, lakini cha msingi ni kwamba unakuta watu wa pale wengi hata hawana shughuli nazo na hawaziimbi wala kuongea lugha zao.

Hapa naweza nikakupa nyimbo za kizaramo, lakini kuwakuta wazaramo kitaa wakiziimba au wakiongea ongea lugha yao ya asili ni vigumu, wengi hawajui hata salamu na ndio taswira maeneo mengi Tanzania, watu wanaishi kama watumwa, hawajui asili yao na hawafundishi watoto wao mila na desturi zao. Mtoto anakua kama wale Wamarekani weusi wasiokua na asili wala kujua walitokea wapi. Wao hujua kwao ni Afrika, lakini hawajui chochote zaidi ya hapo na hutukanwa sana.
 
Tatizo upo egocentric na unaleta mentality yako ya Kenya Tanzania. A fact I find u stupid culture is not all on Kenyan perspective. U need to learn n respect other people way of living young man. Kenya is not the best example to be proud of as far as honoring culture.
 
I heard this Tanzanian vernacular song once twelve years ago on RFA (Western Kenya, on AM), it was beautifl.
The tune sounded somewhat like Saida Karoli's " Salome" , but with a melancholic tune.

Whoever can recognize that song,( listen to my attached tune of the song, sorry if it sounds atrocious) kindly give me the name of that crooner plus the title of the song, thanks in advance.
 
Back
Top Bottom