Je watanzani tutasubutu?


leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
1,675
Likes
1,812
Points
280
leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
1,675 1,812 280

Wenzetu wakenya wako mbioni kukamilisha Reli yao hivi karibuni, nawapongeza sana kwa mambo mawili makubwa.
1. wameshirikiana na vijana wengi sana wa kitanzania kufanya kazi hii kama maopareta wa mitambo mbalimbali, madreva na kazi nyingine nyingi zilizohitaji ujuzi maalumu
2. katika hili hawakutubagua majirani zao, tofauti na nilivyokuwa naamini.
SABABU
Watanzania kwa miaka mingi sasa tulikuwa tukishiriki kujenga miundombinu hivyo kuzalisha watu wenye ujuzi mbalimbali katika shughuri za ujenzi wa miundo mbinu kuliko majirani zetu wote, na kampuni ya CRBC, CCCC Zimefanya kazi hapa nchini hivyo walichukua wafanyakazi wengi toka katika miradi waliyofanya hapa nchini
SWALI
Je mtawavumilia wakenya pia watakapokuja kutusaidia kujenga ya kwetu hivi karibuni kwani tayari wana ujuzi katika ujenzi wa reli?.
 
Baba jay'rose

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
919
Likes
687
Points
180
Baba jay'rose

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
919 687 180
Ushahidi uko wapi kua watanzania wamehusika kwa fani rahisi hivo???
Huwajui wakenya wewe
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
16,856
Likes
24,212
Points
280
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
16,856 24,212 280

Wenzetu wakenya wako mbioni kukamilisha Reli yao hivi karibuni nawapongeza sana kwa mambo mawili makubwa.
1. wameshirikiana na vijana wengi sana wa kitanzania kufanya kazi hii kama maopareta wa mitambo mbalimbali, madreva na kazi nyingine nyingi zilizohitaji ujuzi maalumu
2. katika hili hawakutubagua majirani zao, tofauti na nilivyokuwa naamini.
SABABU
Watanzania kwa miaka mingi sasa tulikuwa tukishiriki kujenga miundombinu hivyo kuzalisha watu wenye ujuzi mbalimbali katika shughuri za ujenzi wa miundo mbinu kuliko majirani zetu wote na kampuni ya CRBC, CCCC. Zimefanya kazi hapa nchini hivyo walichukua wafanyakazi wengi toka katika miradi waliyofanya hapa nchini
SWALI
Je mtawavumilia wakenya pia watakapokuja kutusaidia kujenga ya kwetu hivi karibuni kwani tayari wana ujuzi katika ujenzi wa reli.
Tutasubutu= Tutathubutu au?
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,440
Likes
18,765
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,440 18,765 280
Ushahidi uko wapi kua watanzania wamehusika kwa fani rahisi hivo???
Huwajui wakenya wewe
Ni kweli kuna ndugu yangu amesoma engineering udsm anafanya Kazi ya ujenzi wa reli hiyo toka 2014 mpaka sasa
 
leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
1,675
Likes
1,812
Points
280
leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
1,675 1,812 280
Ushahidi uko wapi kua watanzania wamehusika kwa fani rahisi hivo???
Huwajui wakenya wewe
Natoka kanda ya ziwa nawafahamu vizuri sana, hata mimi nashangaa kama wewe na pia nilikuwa na imani kama yako, maopareta wa mitambo ni viungo muhimu sana kwenye ujenzi wowote ule usidharau na ndio wajenzi wenyewe waliobaki ni wataalamu kwa maana ya kusimamia nawafahamu wengi binafsi kwa kuwa nimefanya kazi na makampuni haya.
 
K

kahupwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
290
Likes
133
Points
60
K

kahupwe

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
290 133 60
SIsi imebaki maazimio tu.
 
Goodluck TZ

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,459
Likes
645
Points
280
Goodluck TZ

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,459 645 280
du hata kwa dawa
 

Forum statistics

Threads 1,272,639
Members 490,036
Posts 30,455,712