Je watambua majina ya wanaume/vijana? Haya hapa

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,461
Nimeona nami nitaje majina ya wanaume /vijana maana wanaume wamezidi kutuchambua kama karanga wenzao nami nimeingia katika kona hii nitaje baadhi tu ya majina yanayofahamika ya wanaume

1. vidume
2. vijembe na vishoka
3. ATM
4. Shalobaro
5. katakei
6. mjomba
7. kinyosti

majina mengine malizia wewe unayetuanika wenzio hadharani hatupendi hasa weeeeeeeee mbayaaaaaaaaaaaa
 
sasa mentol nashukuru kwa kunitakia heri ya xmass lakini mbona hujanitumia ua la xmass best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom