Je, wataka kuingia Ikulu kumuona Rais? Mjue Limbega aliyepewa pasi ya Ikulu, mpaka leo anaingia

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Miaka kadhaaa iliyopita nikiwa mkoani Morogoro, nadhani ni Wilaya ya kilombero kuna Kijiji kinaitwa Kiberege, iki Kijiji kipo karbu na kiwanda Cha sukari ni katikati ya ifakara kama unatokea kilombero. Nikili wazi nilienda kwa kazi maalum ya maisha yangu (najua hapa watu mnajiuliza kazi maalum ya maisha ni ipi?)kimsingi unapotumwa kufanya kazi inayokuingizia kipato na ukala ukashiba hiyo ni kazi maalum.

Nikiwa pale Kijijini nilikutana na mjadara mkali Sanaa dhidi ya jinsi ya kuweza KUINGIA IKULU kumwona Raisi yoyote atakae kuwa Ikulu kwa muda au nyakati hizo.

Mjadara ule uliongozwa na Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina Katepa, Katepa Huyu alikuwa miongoni mwa makada wa chama Cha mapinduwazi kwa zaidi ya miaka 30 lakini hakuwai kujua jinsi ya kuingia Ikulu ya Magogoni zaidi kwa kuwa kilikuwa ni kipindi Cha kampeni za kura za maoni ndani ya chama Cha mapinduwazi Kuna wakati aliwadanganya wananchi yakuwa wakimchagua kwa kuwa analo shati la chama atalitumia kama freepass kuingia na kutoka Ikulu kuwasilisha matatizo ya wananchi(Kuna kiongozi mmoja alikuwa anaiita connection).kwa kuwa alitamka hivyo kweny kura za maoni hakujua Kuna wenzake walio kuwa na free pass za Ikulu je walikuwepo humo ukumbuni na walizipataje?

Wakiwa ukumbuni ndipo alipojitokeza mpinzani ingawa wote walikuwa chama kimoja maana walikuwa kwenye kura za maoni alitambulika kwa jina LIMBEGa Huyu bwana kwenye kura za maoni yeye hakutaka kuwadanganya wananchi yeye aliingiza mkono mfukoni na kutoa FREPASS ya Ikulu iliyosainiwa na Raisi wa awamu ya pili wa serikali ya jamhuri ya Muumgano wa Tanzania yaan Mzee Rukasa.(jina Ili lisikutishe).

Ikumbukwe ndugu LIMBEGa ni KIPOFU wa kuzaliwa tangu azaliwe hajawai kuliona jua, kitendo Cha LIMBEGa kuonesha freepass ya Ikulu kilizua gumzo vijijini Kila mwananchi akisema au kutamka lake, wapo walio sema ni feki, wapo walio sema Huyu bwana ni kitengo zaidi wapo walio amini aliiba kwa mtu anae ona.yani free pass ya Ikulu wananchi waliamini ni jambo kubwa sana

Je unataka kuingia Ikulu? fatilia MKASA wa LIMBEGa aliyeingia Ikulu na kufanikiwa kupata freepass ya Ikulu

MKASA huu ndugu msomaji ni WA kweli kasoro majina ndo ya kubumba ila ikitokea Kuna mtu anaitwa LIMBEGa au sifileo au Mzee Rukasa pamoja na Badru basi waniwie radhi maana ndio wa usika wa simulizi,usiisome kama stori ya kutungwa ni ya kweli.(sifa za kusoma stori ya kweli tuliza Akili Ili ukweli ukuingie).

""Ndugu zangu wanachama wa chama Cha Mapinduwazi, Kwanza nimewaita hapa Ili niwashukuru kwa kukubali kupitisha jina langu kupeperusha bendera ya chama chetu Cha Mapinduwazi kwenye kinyanganyiro Cha mwaka huu kwa nafasi ya mwakilishi wa wakulima,binafsi nilijua watu tusioona hatuwezi chaguliwa na wanao Ona hii ni inshara yakuwa tumepiga hatua nchini mwetu Yani unyanyapaaaa kwishinei" alizungumza ndugu LIMBEGa mgombea aliyepitishwa na wanachama wa chama Cha Mapinduwazi kupeperusha bendera ya chama Chao akiwashukuru wananchi waliofika kwake kumpogeza kwa ushindi mnono kwenye kura za maoni

Aliendeleea kuongea, ''ndugu zangu wanachama wa chama Cha Mapinduwazi kama Kuna mtu ana swali lolote kuhusu aliyoyasikia kwenye kampeni mko huru kuniuliza NAMI ntawajibu maana tunako elelekea huko kwenye kampeni lazima sote tuzungumze lugha moja kabsa.( Aliwaeleza wanachama wenzake wa chama Cha Mapinduwazi.)

Mh mgombea Mimi Nina swali (alidakia kapeta mgombea ambae kura hazikutosha kwenye kura za maoni ) Ndiyo karbu ndugu kapeta bira shaka ni yeye ndugu zangu maana Mimi sioni ila sauti ya Katepa hainipotei hata siku moja .

Ndugu yangu LIMBEGa Mimi nilitaka kujua taratibu za kuingia Ikulu?Katepa aliuliza swali?

LIMBEGa;ebo!kwani ndugu yangu Katepa hujui Ili uingie Ikulu ya Magogoni lazima ugombee uraisi wa jamhuri?(LIMBEGa alijibu kwa kuuliza swali).

Katepa;hapana mh sikuamanaisha kuingia Ikulu ukiwa kiongozi Nina maana ya mwananchi wa kawaida kuingia Ikulu kuonana na mtumishi no 1 wa Ikulu?

LIMBEGa;Sasa hapo ndo nimekuelewa Sasa Ili swali linausiano gani na kampeni tulizozifanya na tunazo enda kuzifanya?( LIMBEGa aliaendelea kumjibu kwa kumwepa na kumtwaga maswali.

Katepa; Ili swali Lina uhusiano mkubwa maana kwenye kampeni ndani ya chama chetu wewe ulionesha freepass ya Ikulu Sasa wananchi wanatuuliza huyo mgombea wenu kaipata wapi free pass au kaiba ya mtu au ni FEKI? Na ujue wewe ulinishinda kwa sababu hiyo vinginevyo Mimi nilikuwa nimekubwaga(watu wote wanaangua kicheko hahahhahàhhaahahahahahhahahaa).

LIMBEGa nae anaangua kicheko ingawa hakuwaona walio Cheka aliwasikia maana wapo walio mcheka na wapo walio chekeshwa na kauli za mpinzani wake.

LIMBEGa; ndugu yangu Katepa Mimi nadhani kampeni ndani ya chama zimeisha ila kimsingi wewe Mimi usingenishinda Mimi sioni lakini cv yangu ni kubwa hivi ukumbuki yakuwa niliwai kuwa Mwenyekiti wa Kijiji kwa miaka kumi?ukumbuki nimekuwa kiongozi wa sungusungu kwa miaka 10? Kama haitoshi ukumbuki nimekuwa baba wa ndoa wa wakazi zaidi ya 20 hapa Kijijini Ili hali wewe hata UMONITA Darasani hukuwai kupewa?(LIMBEGa na watu wanaangua kichekoo hahaahahahahaahahahahaajajajajajajajaa).

LIMBEGa;labda niwajuze ndugu wananchi yakuwa freepass hii ambayo Tena leo nawaonesha ni ya kweli na imeandikwa majina yangu na nilipewa free pass hii miaka zaidi ya 30 iliyopita na Mimi Ikulu hata aingie nani Mimi nakwenda na pass hii naonana nae. Je msomaji wangu wataka kujua LIMBEGa aliipate freepass ya Ikulu ya Magogoni? Ambatana na NAMI sehemu ya pili narudia Tena simulizi hii sio ya kutunga ni ya kweli.

Karbuni.
 
Stori mbaya imekosa uhalisia.
Nb. Sijaimaliza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom