Je, wasanii wa filamu bongo ni celebrities???

Oct 7, 2008
25
0
Napata taabu kupata tafsiri sahihi ya celebrity!!!

Hawa vijana wanalazimisha jamii iwape heshima kwa kuwa kumbe wao wanadhani ni celebrities! Wakiwa sehemu ambazo kuna watu wengi sana walio-fail masomo kama wao, wana-command respect hata kwa nguvu.

Mimi sijaona celebrity wa kweli kati yao ila kuna waganga njaa wengi mno. Ukifahamiana na mmoja wao, be ready to triple your budget maana wanataka kiwango fulani cha maisha wakati ujanja wa kupata fedha hawana! Watakuwa all the time wako kwako mara kuazima suit, mara nyumba wafanyie shooting, mara hiki na hata wengine watataka uwape fedha za kujikimu. Wengine watakuletea wasichana ili wawe maswahiba wako. Nani kakwambia dunia ya leo mtu naletewa msichana ambae kishajitongoza mwenyewe, na UKIMWI tutauepuka vipi hapo??? Nathibitisha kwamba wasichana hawa wasanii wa runinga bongo, njaa kama wendawazimu, huhitaji kuwatongoza, wakishapata uhakika unayo good time na fedha hata kama ni kwa ajili ya maendeleo yako, uwe jasiri kweli kuwakimbia, vinginevyo epukana nao. Nadhani hata waigizaji wa kiume wna tabia hii. Nani kakwambia kuna maisha bila fedha?

Washaurini kwamba watafuta courses za utaalamu wasome, vinginevyo three years down the road watakuwa vibaka mtaani na machangudoa!
 
Mkuu,

Umesema ukweli, Wasichana wacheza filamu bongo wanacheza ili wauze sura ili wapate mabwana. Tofauti yao na ma baa maid ni ndogo sana, sema wao wanajali kuona kama unajiweza kifedha na una gari.

Wanaume nao wanacheza ili wawapate mademu wa uswahilini na majimama.

Kwa ufupi wacheza filamu wa bongo hata SHULE hawana ndo maana QUALITY YA MOVIE ZAO ni MBOVU kuliko kawaida.

Mfano: kila wakiwa na scene ya sebuleni lazima ipigwe kwenye uelekeo wa TV na Redio....ile dhana ya 1970.... tulipokuwa tunapiga picha na radio ya National Panasonic Memory Q!!!

Yaani ni washamba na hawana exposure hata kidogo.

Tatizo sasa pale unapotaka kuwaeleimisha... wanajifanya wajuaji na maarufu.
Maarufu my foot!
 
Back
Top Bottom