Je. Wasanii wa Bongofleva na Wacheza filamu walisusia msiba wa Mafisango? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je. Wasanii wa Bongofleva na Wacheza filamu walisusia msiba wa Mafisango?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by luck, May 21, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  [FONT=&quot]Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?[/FONT]
   
 2. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  walikua bz na maandalizi ya Arobaini ya Kanumba
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo.
   
 4. luck

  luck JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Mkuu, huna haja ya roll call, mbona wanajulikana tu. Na wanavyopenda kuuza sura lazima ungewaona. Ni kwamba hawakuwepo!
   
 5. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  kwani wacheza mpira walikuwepo kwny mazishi ya kanumba?
   
Loading...