Je, wapinzani wakitoa fedha "cash" kwa wananchi katika ziara zao, nini kitatokea?

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Tumemuona Rais Magufuli akitoa fedha taslimu kutatua changamoto mbalimbali ama kumsaidia mtu binafsi. Je, hakuna utaratibu maalum wa kutoa fedha hizi?

Swali ni je kama ikitokea akina Mbowe, Mdee, Zitto, Sugu, na wengine wakafanya hivyo majimboni mwao, nini kitatokea? Hii ni ruksa kwa Rais tu au kwa wote?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
 
Unauliza vumbi stoo au makofi polisi? Watakamatwa na takukuru na kufunguliwa kesi ya kutoa rushwa.
 
Kiongozi wetu ni wa kwanza duniani anayetembea na mabulingutu ya noti na kuzigawa katika mikutano ya hadhara! Hii ni rushwa ya kuwashawishi wananchi aonekane anajali shida zao!
 
Takukuru hawaoni?

Mbona hawamkamati kwa kutoa rushwa?

Au huyo sheria hiyo ya rushwa haimhusu?
 
Kiongozi wetu ni wa kwanza duniani anayetembea na mabulingutu ya noti na kuzigawa katika mikutano ya hadhara! Hii ni rushwa ya kuwashawishi wananchi aonekane anajali shida zao!
Hapana, ni wa pili. Wa kwanza aliitwa Al Haj, Field Marshall, Dr. Idi Amin Dada. Kwa huyu naye miili ya Waganda wengi iliokotwa ikielea Ziwa Victoria hadi mamba nao wakakinai kuila.
 
Hapana, ni wa pili. Wa kwanza aliitwa Al Haj, Field Marshall, Dr. Idi Amin Dada. Huyu naye Waganda wengi waliokotwa wakielea Ziwa Victoria hadi mamba wakakinai kula miili yao.

Hoja ni Rais kugawa pesa kama peremende.
 
Wapinzani hawana hela, Hela yote ya JMTZ iko chini ya Raisi wa JMTZ, labda sasa watafute nchi yao na hela yao!
 
Hapana, ni wa pili. Wa kwanza aliitwa Al Haj, Field Marshall, Dr. Idi Amin Dada. Kwa huyu naye miili ya Waganda wengi iliokotwa ikielea Ziwa Victoria hadi mamba nao wakakinai kuila.

Hoja ni rais kugawa pesa kama peremende.

Siyo kutupa watu mto ruvu wakiwa wamefungwa kwenye viroba.
 
Hoja ni Rais kugawa pesa kama peremende.
Utakuwa ni mtoto sana hivyo hujui historia. Al Haj, Field Marshal, Dr. Idi Amin Dada alikuwa na makoti special yenye mifuko mikubwa iliyojaa hela. Alikuwa anagawa hela sawa sawa na anavyogawa jiwe.
 
Wapinzani hawana hela, Hela yote ya JMTZ iko chini ya Raisi wa JMTZ, labda sasa watafute nchi yao na hela yao!

Kwa hiyo yeye anaamua tu pesa ya umma itumikaje,

hakuna utaratibu wa kutumia pesa ya umma?

ukiambiwa sheria zinakiukwa, unarefusha pua.
 
Hoja ni rais kugawa pesa kama peremende.
Hoja ni mfu, kwanini wapinzani wagawe fedha?
1) watazipata wapi kwasababi anazogawa bwana yule ni zetu za kodi amiamua atapanue
2) zinasaidia nini? Poverty is ver eradicates by giving oit handouts, provide people with opportunities not vohela vya kula siku mbili.

Unapotoa vijihela kwa mtu mmojammoja anaekuomba au uliyempanga kuonyeaha show ndio inakiaje kwa linchi likubwa namna hii?
 
Kwa wengine rushwa au hukumsikia dogo wa hai anakwambia ukitaka kutoa msaada peleka kwa mkurugenzi
 
Kupambana na rushwa kwa njia hiyo tumeisha feli.
Nadhani WaTz wanaona na kuelewa, no governing law, no TAKUKURU zote ni show tena za kibabe!!
 
Hoja ni mfu, kwanini wapinzani wagawe fedha?
1) watazipata wapi kwasababi anazogawa bwana yule ni zetu za kodi amiamua atapanue
2) zinasaidia nini? Poverty is ver eradicates by giving oit handouts, provide people with opportunities not vohela vya kula siku mbili.

Unapotoa vijihela kwa mtu mmojammoja anaekuomba au uliyempanga kuonyeaha show ndio inakiaje kwa linchi likubwa namna hii?
Ndugu, hujaeleweka hata!
 
Utakuwa ni mtoto sana hivyo hujui historia. Al Haj, Field Marshal, Dr. Idi Amin Dada alikuwa na makoti special yenye mifuko mikubwa iliyojaa hela. Alikuwa anagawa hela sawa sawa na anavyogawa jiwe.
Kwahiyo?????
 
Back
Top Bottom