Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Tumemuona Rais Magufuli akitoa fedha taslimu kutatua changamoto mbalimbali ama kumsaidia mtu binafsi. Je, hakuna utaratibu maalum wa kutoa fedha hizi?
Swali ni je kama ikitokea akina Mbowe, Mdee, Zitto, Sugu, na wengine wakafanya hivyo majimboni mwao, nini kitatokea? Hii ni ruksa kwa Rais tu au kwa wote?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Swali ni je kama ikitokea akina Mbowe, Mdee, Zitto, Sugu, na wengine wakafanya hivyo majimboni mwao, nini kitatokea? Hii ni ruksa kwa Rais tu au kwa wote?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!