Je wapiga kura wanajifahamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wapiga kura wanajifahamu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 12, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wana jamii,nimewaza sana bila kupata jibu.Je watu wote wanaohudhuria kampeni za Urais wa SISIMU wanaenda kusikiliza na kufuta nini.Mi nadhani kwa mtu mwenye uelewa mzuri hana haja ya kusikiliza Kampeni za Kikwete,tunafahau utendaji wake kwa miaka 5,kuna haja gani ya kwenda kumsikiliza?Hatakua na jipya zaidi.Cha muhimu ni kuwasikiliza wapinzani.Elimu inahitajika sana ili watu wajitambu na kuacha kupoteza muda wao muhimu
   
Loading...