Je, wanawake wote wapo hivi au ni huyu wangu tu?

Hili dume kwel hili
Inabidi kutathmini urijali wake maana hii tabia imekuja kwa kasi sana. Juzi mwanangu mmoja yupo na wife na rafki zake si akasema piga kelele kwa kwio wakee, wakaitikia wanavyojua wao, basi nikamshangaa sana mwana
 
  • Thanks
Reactions: _ID

hlo tatzo mkuu
 
Habari zenu wanajukwaa,

Direct to the point. Nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. hakika katka muda wote huu tumepata kufahamiana na kujuana vema amepata kuyajua mazuri na madhaifu yangu na mm pia nmepata kujua yake.

Hakika nikiri kuwa huyu mwanamke ananiheshmu na kunitii.(naamini ananipenda pia japo siwez usemea moyo wake,lakn yy hunisisitizia kila mara kwamba ananipenda sana).HANA tabia za ajabu ajabu kama vile kuomba pesa(wanawake wengi wa kileo usipowapa pesa basi sahau kuhusu kupendwa,lakn yy hayuko hvo.), ulevi, dharau, ubinafsi. Na nikiri tu kwamba huyu ndo mwanamke wa kwanza kudumu nae katka mahusiano kwa mda mrefu kwa sababu nakumbka wanawake wengne wote nliowah ku date nao tulikuwa tukidumu sana bas n wiki tatu tu.

Sababu kubwa ya kutodumu ni dharau, kujiona classic na kuomba omba pesa.miaka ya nyuma kuna sku nlikuwa namtongoza msichana fulan wa kanda ya kaskazini nadhan mnawajua vile wako na sura mzuri yaan they are really cute, katka convo akajichanganya kuomba pesa asee pale pale nilifuta namba yake na kuendelea na mishe zangu. mm nina allergy na mwanamke mwenye dharau na anaeomba omba pesa hata awe mzuri kias gan yan hisia huwa znakata ghafla kama vile wajumbe walivokata majina ya watia nia.

Back to the point; huyu mpenz wangu amekuwa na magonjwa mengi mengi yasiyoisha mpaka nawaza je nikiingia nae kwny ndoa si ndo ntachoma pesa zote kumuuguza? Ana pumu, maumivu ya tumbo, maumivi ya kichwa, homa za kila week, Macho yanamsumbua.

Akilala asubuhi anaamka kachanjwa chale, (sometime anachanjwa hata akiwa macho ila anaemchanja hamwoni),akitembea sana anavimba miguu hata kama ni zile route za town tu. (Ashawahi kuja kwangu akakaa mwezi mzma kwa hyo nlishuhudia haya magonjwa kwa macho yangu) Yaan ukituma sms ya salamu "mambo" tegemea reply ya "kichwa kinaniuma" mpaka unachoka kumpa pole kila sku.

Sasa kila sku amekuwa akiniuliza Dany hv kwel utanioa? huwa namjibu tu Ndio ili kumridhisha.sasa mm nko njiapanda hapa je niendelee kuwa nae au nimwache tu kiroho safi nisimpotezee mda wake. Ikumbukwe kuwa huko nyuma nshawahi kumwacha kama mara mbili hv bila kosa lolote asee alilia mpaka nikamwonea huruma nikamrudia.

Naomben ushauri wenu je huyu mwanamke nikimuoa tutafanya maendeleo kweli au ndio nitakuwa nimejipa kibarua cha kumuuguza?
Hiki kisa chako kimenipa huzuni sana.

My Brother, mimi ni muamini wa Fate au Destiny kama wengine wanavyoita. Hatukutani na watu kwa bahati mbaya huku Duniani, na ndio maana huwezi kuwa na mahusiano na wanawake wote wa rika lako. Lazima uta.meet na wachache tu. Sasa katika hao wachache kuna mmoja umeumbiwa wewe ambaye ukimpoteza huenda usije settle kwenye mapenzi maisha yako yote. Na huwa wanakuja na changamoto zao kama hizo unazopitia wewe.

Umesema unamkubali sana huyo mwanamke wako na anakupenda na unaona yupo tofauti na wengine. Basi angalia namna gani ya kumsaidia. Kumuacha kisa anaumwa sio jambo la kiungwana. Chukulia kuumwa kwake kama sehemu ya majaribu tu katika mahusiano yenu. Na huwezi jua ukilishinda hilo jaribu, utakutana na neema gani huko mbele au atakuja kukusaidia nini kikubwa huko mbeleni.

Kila la Heri!
 
Hiki kisa chako kimenipa huzuni sana.

Nisingependa ku.share hii story, lakini nahisi kuna namna inaingiliana na hii ya kwako, huenda ikamgusa mtu yoyote kwa namna yake.

Aunt yangu mmoja, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Alikua mkarimu sana. Alipendana sana na mume wake. Nakumbuka kuna kipindi Mume wake alipata ajali ya gari akavunjika miguu yote. Kilikua kipindi kigumu sana kwa Aunt kwa sababu Mume wake alikua ni mtu wa vibarua na ndio alikua tegemezi kwenye Familia. So ile Ajali ilikua pigo kubwa sana kwake. Wanafamilia tuli.play part yetu lakini Aunt ndio ali.play part kubwa sana kumshughulikia mume wake bila kuchoka mpaka Jamaa akapona kabisa. Hakuna siku niliyowahi kuwatembelea nikaacha kushangazwa na namna walivyokua wanaishi kwa amani na furaha mpaka nasahau kama nimeenda kumtembelea mgonjwa.

Aunt alijua sana kuweka mazingira neutral, yani unaweza ukawa na tatizo kubwa sana lakini yeye akaku.treat kama upo kawaida kabisa mpaka unajisahau kama una matatizo. Maisha yao yakarudi kama zamani, miaka ikazidi kusonga. Mapenzi yao yakazidi kushamiri. Hakika, they were made for each other.

Lakini kama wasemavyo wenye busara zao kuwa majonzi hayachagui nyumba ya kwenda, basi ndivyo yalivyowakumba tena bila hata taarifa. Aunt yangu kipenzi ghafla akapatwa na maumivu makali ya tumbo usiku mmoja. Akawahishwa hospitali ya Mkoa, watabibu wakahangaika naye sana bila mafanikio. Akapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi. Wakamuhamishia hospitali zingine kwa huduma bora zaidi. Ikagundulika alikua na uvimbe somewhere near liver. Akafanyiwa upasuaji, lakini mambo hayakwenda kama ilivyotegemewa. In short aliteseka sana kwa muda mrefu (zaidi ya miaka miwili). Ilikuja kugundulika baadae kuwa alikua na cancer na ndio ilisababisha kifo chake. So painful..

Sasa kwanini nimeleta story ya namna hii kwenye huu uzi?

Kwa sababu ya ubinadamu na upendo wa dhati niliofanikiwa kuona kwa Mume wake kwa kipindi chote alichougua Aunt. Sijawahi kwenda hospitali nikamkosa yule Bwana. Mpaka kuna kipindi nilimuuliza nurse hivi huyu Uncle huwa anapumzika kweli maana mtu wa kumuhudumia mgonjwa yupo? Nurse akasema hajawahi kukosa hata siku moja. Duh, nilijiskia vibaya sana. Yani kuna wakati mpaka watu wengine pale hospitali wakawa wanamuonea huruma yeye zaidi kuliko hata Mgonjwa (Aunt) mwenyewe. Kuna kipindi alikua anafululiza kulala hospitali zaidi ya mwezi mzima akimuangalia Mke wake mpaka mauti yalipomkuta.

Sasa turudi kwenye mada.

Dahh so sad ..... ila umemaliza kila kitu bila shaka mtoa mada atapata kitu hapa
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kumbe ndio maana anakupenda kweli kweli, kumbe anazo changamoto nyingi,

pengine hayo magonjwa yamekuwa sababu ya yeye kuachana na wapenzi wake wa nyuma kabla yako.

lakini komaa tu mkuu.
 
asante sana mkuu. hakika umenena vyema.
 
Kumbe ndio maana anakupenda kweli kweli, kumbe anazo changamoto nyingi,

pengine hayo magonjwa yamekuwa sababu ya yeye kuachana na wapenzi wake wa nyuma kabla yako.

lakini komaa tu mkuu.
huenda kweli mkuu
 
Habari zenu wanajukwaa,

Direct to the point. Nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. hakika katka muda wote huu tumepata kufahamiana na kujuana vema amepata kuyajua mazuri na madhaifu yangu na mm pia nmepata kujua yake.

Hakika nikiri kuwa huyu mwanamke ananiheshmu na kunitii.(naamini ananipenda pia japo siwez usemea moyo wake,lakn yy hunisisitizia kila mara kwamba ananipenda sana).HANA tabia za ajabu ajabu kama vile kuomba pesa(wanawake wengi wa kileo usipowapa pesa basi sahau kuhusu kupendwa,lakn yy hayuko hvo.), ulevi, dharau, ubinafsi. Na nikiri tu kwamba huyu ndo mwanamke wa kwanza kudumu nae katka mahusiano kwa mda mrefu kwa sababu nakumbka wanawake wengne wote nliowah ku date nao tulikuwa tukidumu sana bas n wiki tatu tu.

Sababu kubwa ya kutodumu ni dharau, kujiona classic na kuomba omba pesa.miaka ya nyuma kuna sku nlikuwa namtongoza msichana fulan wa kanda ya kaskazini nadhan mnawajua vile wako na sura mzuri yaan they are really cute, katka convo akajichanganya kuomba pesa asee pale pale nilifuta namba yake na kuendelea na mishe zangu. mm nina allergy na mwanamke mwenye dharau na anaeomba omba pesa hata awe mzuri kias gan yan hisia huwa znakata ghafla kama vile wajumbe walivokata majina ya watia nia.

Back to the point; huyu mpenz wangu amekuwa na magonjwa mengi mengi yasiyoisha mpaka nawaza je nikiingia nae kwny ndoa si ndo ntachoma pesa zote kumuuguza? Ana pumu, maumivu ya tumbo, maumivi ya kichwa, homa za kila week, Macho yanamsumbua.

Akilala asubuhi anaamka kachanjwa chale, (sometime anachanjwa hata akiwa macho ila anaemchanja hamwoni),akitembea sana anavimba miguu hata kama ni zile route za town tu. (Ashawahi kuja kwangu akakaa mwezi mzma kwa hyo nlishuhudia haya magonjwa kwa macho yangu) Yaan ukituma sms ya salamu "mambo" tegemea reply ya "kichwa kinaniuma" mpaka unachoka kumpa pole kila sku.

Sasa kila sku amekuwa akiniuliza Dany hv kwel utanioa? huwa namjibu tu Ndio ili kumridhisha.sasa mm nko njiapanda hapa je niendelee kuwa nae au nimwache tu kiroho safi nisimpotezee mda wake. Ikumbukwe kuwa huko nyuma nshawahi kumwacha kama mara mbili hv bila kosa lolote asee alilia mpaka nikamwonea huruma nikamrudia.

Naomben ushauri wenu je huyu mwanamke nikimuoa tutafanya maendeleo kweli au ndio nitakuwa nimejipa kibarua cha kumuuguza?
Brother kwanza nikupe pole saaaan kwa changamoto unayo pitia katika hayo mahusiano yako. Lkn mm naona hiyo ndo nafasi ya kipekeeh kumuonesha ni jinsi gan ww unampenda maan hata yy abakutazama ww kama mtu pekee katika maisha yake kaza buti nenda kanisani muombe muumba yy hashindi na jambo loloteh pia tafuta madaktari am sure kuna siku yataisha na utakua umeweka alama kubwa sana kwenye maisha ya huyo binti
 
Pole sana mkuu! Nadhani tatizo sio kupoteza pesa, hiyo perception yako ni mbaya na imenikwaza kiasi!
Kama unampenda na hana changamoto za kitabia, oa huyo atakufaa! Maradhi yanaweza pita na kukoma kabisa!

BTW unaweza acha huyo na kufuata mwingine mwenye afya sasa na baadae kwenye ndoa akawa na maradhi pengine zaidi ya huyu!

Remember! Hata wewe katikati ya ndoa unaweza pata maradhi sumbufu, naamini hutajiskia vizuri mwenza akuache kwa hilo!

Mtangulize Mungu!
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ulimuacha vipi mkuu
Nilimwambia sina hela wala future kwa sasa. Nikaogopa kumpotezea muda sahivi tuko friends tu. Sema ilikuwa ngumu kwake lakini siwezi penda kwa kumuonea mtu huruma. Huruma ikiisha? Watu wanajifanya eti ataishi kwa huruma maisha yake yote. The same way huwezi ishi kwa hasira na mtu, the same way huwezi ishi na huruma kwa mtu.
 
sawa mkuu lakn sidhan kama hayo maradhi yatakoma akati kila sku yanaibuka mapya.je sku akishika mimba si ndo yataongezeka mara dufu
 
Nilimwambia sina hela wala future kwa sasa. Nikaogopa kumpotezea muda sahivi tuko friends tu. Sema ilikuwa ngumu kwake lakini siwezi penda kwa kumuonea mtu huruma. Huruma ikiisha? Watu wanajifanya eti ataishi kwa huruma maisha yake yote. The same way huwezi ishi kwa hasira na mtu, the same way huwezi ishi na huruma kwa mtu.
itabdi ntumie hii njia mkuu
 
Brother kwanza nikupe pole saaaan kwa changamoto unayo pitia katika hayo mahusiano yako. Lkn mm naona hiyo ndo nafasi ya kipekeeh kumuonesha ni jinsi gan ww unampenda maan hata yy abakutazama ww kama mtu pekee katika maisha yake kaza buti nenda kanisani muombe muumba yy hashindi na jambo loloteh pia tafuta madaktari am sure kuna siku yataisha na utakua umeweka alama kubwa sana kwenye maisha ya huyo binti
sawa mkuu asant
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom