Je, Wanawake gani waliofanya maamuzi magumu, sahihi na kwa wakati Duniani?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.

Hapa Duniani wapo wanawake waliofanya Maamuzi Magumu na sahihi Tena kwa ujasiri bila woga.
Maamuzi Yao yalikuwa na Manufaa Makubwa Sana kwa Vizazi vyao.

Baadhi ya Wanawake hao ambao Ni mfano wa kuigwa Duniani Na Wanastahili Kupongezwa Sana ni SARAH TERAH IBRAHIM. Uamuzi wake wa kijasiri Utasalia kuwa Kumbukumbu Muhimu Sana.
Hongera Sana Mama yetu kwa Uamuzi wako!

Unaweza Ongezea Majina Mengine kwa Heshima ya Mama Zetu!

Karibuni.

220px-Tomb_of_Sara (1).jpg
200px-Sara-filia_Aran.jpg
220px-Sarah_Abraham (1).jpg
 
Mama yako kukuzaa, ulikuwa ni maamuzi mgumu sana, baada ya kufikiri kuitoa mimba kwa muda mrefu.
 
HELLEN G WHITE, Huyu demu sio poa, kuna viumbe amewaokota wakane Imani zao ambazo ni mzizi, na kuwaaanzishia Imani yake ambayo inabagua.

Waumini wake wanamuona kama Mungu wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom