Je,wanasingida tunanufaika nini na ziara ya Tundu Lissu?

Habari wakuu
Naomba kuuliza sisi wapiga kura tulioacha shughuli zetu na kwenda kupanga folen kumchagua mbunge wetu tundu lissu tumesikia mbunge wetu kashapona ila yuko kwenye ziara ya kimataifa ningependa kujua je ziara hizo zitatunufaishaje wapiga kura wake
Ukifuatilia sana hata Singida haijui, wazeee wa unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu
Naomba kuuliza sisi wapiga kura tulioacha shughuli zetu na kwenda kupanga folen kumchagua mbunge wetu tundu lissu tumesikia mbunge wetu kashapona ila yuko kwenye ziara ya kimataifa ningependa kujua je ziara hizo zitatunufaishaje wapiga kura wake

Wewe ni daktari wake hadi useme ameshapona? Ziara zake unagharamia shilingi ngapi?

Nipe tofauti mbili kubwa zenye tija kati ya jimbo la TL aliyepo kwenye matibabu na jimbo ambalo mbunge yupo muda wote.
 
Habari wakuu
Naomba kuuliza sisi wapiga kura tulioacha shughuli zetu na kwenda kupanga folen kumchagua mbunge wetu tundu lissu tumesikia mbunge wetu kashapona ila yuko kwenye ziara ya kimataifa ningependa kujua je ziara hizo zitatunufaishaje wapiga kura wake
onesha kitambulisho.chako cha kura wewe wa kata gani kwanza kama ilokua verified na jamiiforum wa mkoa gani kitambulisho chako kinasema, pili elezea shida zako hapo ulipo je singida nzima hizo shida zipo ulipo au na kwengine zipo?
 
Back
Top Bottom