Je wanafunzi wanaosoma chuo cha mipango humani resource watajiriwa wapi?

BHANGUWIHA

New Member
Joined
Nov 30, 2012
Messages
4
Points
0

BHANGUWIHA

New Member
Joined Nov 30, 2012
4 0
Ndungu zangu naomba mnieleweshe kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi ambao wanachukua kozi mpya ya Human resource planning and managemnt,je soko letu liko je huko duniani?
Mwanafunzi.
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,206
Points
1,250

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,206 1,250
Ndungu zangu naomba mnieleweshe kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi ambao wanachukua kozi mpya ya Human resource planning and managemnt,je soko letu liko je huko duniani?
Mwanafunzi.
Peleka kule nafasi za kazi na tender au jukwaa la elimu watakua na majibu mazuri zaidi, huku watu wanajadili pesa na namna ya kuzitengeneza.
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,728
Points
2,000

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,728 2,000
Ndungu zangu naomba mnieleweshe kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi ambao wanachukua kozi mpya ya Human resource planning and managemnt,je soko letu liko je huko duniani?
Mwanafunzi.
Yaani wewe umeenda kusoma bila kujua baadae unatakiwa kuwa nani? Hii ndo Tanzania, Tatizo kuna watu wanaenda Chuo ili waonekane, watu wanaenda chuo ili kufurahisha ndugu jamaa na marafiki, watu wanaenda chuo kwa sababu wamekaa sana mtaa,

Inasikitisha mtu anasoma bila kujua lengo la hiyo kozi ni nini, na sijui ulichaguliwa au ulichagua mwenyewe, Mkuu hii nchi sio ile ya enzi za Nyerere ukisoma makozi ya Ajabu ajabu inakula kwako mazima,

Ni bora sasa watu wajikite ku opt kozi ambazo zina muelekeo wa kujiajiri mtaani,
 
Forum statistics

Threads 1,392,366
Members 528,604
Posts 34,106,854
Top