Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,177
- 24,653
Swali: Hivi kwa nini wamarekani wajiita FREE WORLD?
Yaani democracy imekua mpaka imeota mvi.....
Highest level of democracy!
Swali: Hivi kwa nini wamarekani wajiita FREE WORLD?
Tuko controlled na nani mkuu?Free will tunazo ila hakuna kiumbe kisicho na fomula ,kwamba ukistep nje ya fomula utapata madhara.
Ila pia tuko controled kwa kiasi fulani tangu kuzaliwa kwetu..
So nikawaida kabisa
Kama hatuna free will basi huu uzi umeujibu kwa kushurutishwa?Hakuna kitu inaitwa freewill,always kuna causality somewhere!
Hii Freewill ya kwenye bible ni pure lie na myth tu.
Mwanangu Sam Harris ka-debunk it left and right!
See him here:
alietuumbaTuko controlled na nani mkuu?
Kama hatuna free will basi huu uzi umeujibu kwa kushurutishwa?
"Land of the free,home the brave"That country is no man's land.....
Land of the homeless... Nation of the strangers"Land of the free,home the brave"
Huu ndio ukweli.Mkuu ukisoma Mwanzo 3 yote utaona ni tamaa na uzembe wa binadamu wenyewe tuu kwani Adamu alishaambiwa asile hilo tunda hata kabla ya Hawa kuumbwa toka ubavuni mwake. Soma Mwanzo 2:16-17 "Mwenyezi-Mungu alimwamuru mwanaume huyo, waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo hakika utakufa"
Kwa hiyo kwa mujibu wa huo mstari hapo Adamu alikua keshaonywa hata kabla ya kuumbwa kwa Hawa.
Sasa mkuu nani mjinga? nani mwenye makosa? Mungu au Adamu?
...Adamu ndie mwenye makosa kwa sababu hakutii amri ya Mungu badala yake alisikiliza alichoambiwa na Hawa. Soma Mwanzo 3:11-12 "Mwenyezi-Mungu akamwuliza nani aliyekuambia uko uchi? Je umekula tunda la mti nililokuamuru usile? Huyo mwanaume akajibu mwanamke uliyenipa akae pamoja nami ndiye aliyenipa tunda la mti huo nami nikala"
Sasa mkuu unaanzaje kumlaumu Mungu wakati ni makosa ya Adamu? Tena Adamu ndie mpuuzi kwa sababu alimsikiliza mwanamke badala ya kumsikiliza Mungu wake, so mwanamke kwake alikua ni zaidi ya Mungu! dharau ilioje????
Na uzuri Hawa nae alikua anajua matunda ya mti fulani Mungu kakataza yasiliwe soma Mwanzo 3:2-3
Sasa mkuu kwa kifupi tuko hapa tulipo sababu ya uasi wa binadamu toka mwanzo!
Haya yote yanayotokea hayana budi kutokea. Mungu ni mwema siku zote, binadamu sababu ya tamaa zetu na kutoshika maandiko ndivyo vinatuponza. Ni lazima tujue uwepo wa Mungu, watu wengi wasiposhuhudia matendo makuu ya Mungu huwa hawaamini kwamba Mungu yupo.
Yes bado anatupenda ndio maana alimtoa mwanae wa pekee/Yesu aje kutukomboa lakini pamoja na yote hayo hamna kitu bado binadamu wanazidi kuasi. Soma vitabu vya Daniel na Ufunuo ujue hatma ya huu ulimwengu. Na ni lazima unabii utimie hata Yesu alikuja kutimiza unabii na kutukomboa toka kifungoni mwa shetani.
Nawashangaa sana watu mnaokaa hapa na kuanza kumshushia lawama Mungu wakati ni matokeo ya uasi wetu toka mwanzo.
BASI huyo mungu ni balaakatika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
Sheria za maumbile lazima ziwe adhehered no matter how free you are hupaswi kuziacha na hazikupi tabu ktk freedom yako.......John YarrTukisem free will INA maana Sheria za nchi tutaweka pembeni....
Good summary!!Free will ni uhuru wa mustakabali wako.. Ni nguvu isiyo na uwezo wa kuidhibiti kimwili.. Ni mtazamo wenye asili ya roho na kila mtu huwa nayo utotoni
Lakini kadiri makuzi yanavyoendelea nguvu hiyo huuliwa taratibu na mila desturi imani na elimu
. mila kuna limitations nyingi kwenye mila unaambiwa hairuhusiwi kufanya hili au lile..
. imani unaambiwa kutokana na imani yetu ukisema hivi unakosea
. elimu zetu ni za upande mmoja huku wengi sana wakinyimwa elimu za kiroho utambuzi na ugunduzi
Mkuu upo sahihi. Hata utatuzi wa jambo utegemea kuelewa kwanza kipi ni chanzo kwa asili.Benedict de Spinoza katika kitabu chake cha Tractatus; Theologico-Politicus anasema Deus sive Natura akimaanisha God or Nature chapter three nanukuu "Whether we say...that all things happen according to the laws of nature, or are ordered by the decree and direction of God, we say the same thing.".
Katika chapter 3 na 4 anachotaka kutueleza ni kwamba Mungu na "Nature" acha niite asili (nimekosa kiswahili chake) ni kitu kimoja kwamba kila amuzi unalofanya na unalopitia sio kwamba umeamua kulifanya eti kisa unalipenda bali ni sababu mazingira(nature) yanakushawish ulifanye!
″the infant believes that it is by free will that it seeks the breast; the angry boy believes that by free will he wishes vengeance; the timid man thinks it is with free will he seeks flight; the drunkard believes that by a free command of his mind he speaks the things which when sober he wishes he had left unsaid. … All believe that they speak by a free command of the mind, whilst, in truth, they have no power to restrain the impulse which they have to speak.″. kila unachofanya kina ushawish na mazingira uliyopo lasivyo jiulize;Binadamu hatuna FREE WILL
- unaweza zuia kasirika, lia, cheka?
- Unaweza zuia kuamua, mawazo?
- Unaweza zuia hisia zako/ zikaact tofauti na unavyoishi siku zote?