Je Wana JamiiForums Wenzangu hili ambalo nimelisikia na limenitisha kabisa lina Ukweli wowote ule?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kwamba kumbe kama Mtu fulani wa Kimataifa au Kampuni ya Kimataifa ikiwa inaidai nchi fulani wakigundua vile vya Kukamata vyote vimeshakamatwa na Wadai wengine basi kinachofuata sasa ni Kumvizia Rais wa nchi au Makamu wake au Waziri Mkuu husika Siku nae akisafiri tu katika hizo nchi basi nae anakamatwa hadi Deni lao limalizwe Kulipwa?

Je hii ni kweli au Mwanamume nimelishwa tu Tango Pori name pia nikalila hivyo hivyo? Manake nilianza Kuogopa sasa nikijiuliza hivi Japan haitudai chochote labda kisha wakaamua kubaki nae Kassim na Kabudi wake huko huko Yokohama hadi Walipwe chao?

Karibuni Kimjadala.
 
1 Timotheo 2:1-2

Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
 
JF inaelekea kubaya kwa taarifa au threads za aina hii...moderators fanyeni kazi yenu kwa umakini
 
Rais hawezi kukamatwa maana ana diplomatic immunity. Yaani hata wana diplomasia wengi hawawezi kukamatwa.

Niseme Marekani ndio wana uwezo huo, wanakuvua Diplomatic Immunity alafu wanakufa pinga. Wamarekani wanakufuata hata hapo Magogoni wakikupania
 
Kwamba kumbe kama Mtu fulani wa Kimataifa au Kampuni ya Kimataifa ikiwa inaidai nchi fulani wakigundua vile vya Kukamata vyote vimeshakamatwa na Wadai wengine basi kinachofuata sasa ni Kumvizia Rais wa nchi au Makamu wake au Waziri Mkuu husika Siku nae akisafiri tu katika hizo nchi basi nae anakamatwa hadi Deni lao limalizwe Kulipwa?

Je hii ni kweli au Mwanamume nimelishwa tu Tango Pori name pia nikalila hivyo hivyo? Manake nilianza Kuogopa sasa nikijiuliza hivi Japan haitudai chochote labda kisha wakaamua kubaki nae Kassim na Kabudi wake huko huko Yokohama hadi Walipwe chao?

Karibuni Kimjadala.
Uliambiwa haya ukiwa chumbani au?
 
kwani unateseka?
 
Unaonaje?
 
NAOMBA HII IWE KWELI ILI JIWE AKISAFIRI TU AKAMATWE NA DENI HATULIPII
 
Kassimu na kubundi wakidakwa huko Nina Imani watafurahi tu. Watatamani Deni lisilipwe wabaki forever
Kwamba kumbe kama Mtu fulani wa Kimataifa au Kampuni ya Kimataifa ikiwa inaidai nchi fulani wakigundua vile vya Kukamata vyote vimeshakamatwa na Wadai wengine basi kinachofuata sasa ni Kumvizia Rais wa nchi au Makamu wake au Waziri Mkuu husika Siku nae akisafiri tu katika hizo nchi basi nae anakamatwa hadi Deni lao limalizwe Kulipwa?

Je hii ni kweli au Mwanamume nimelishwa tu Tango Pori name pia nikalila hivyo hivyo? Manake nilianza Kuogopa sasa nikijiuliza hivi Japan haitudai chochote labda kisha wakaamua kubaki nae Kassim na Kabudi wake huko huko Yokohama hadi Walipwe chao?

Karibuni Kimjadala.
 
1 Timotheo 2:1-2

Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
He nikweli serikali zinatokw kwa Mungu??? Maana Kuna zingine hata shetani anatamani awakane
 
Kwamba kumbe kama Mtu fulani wa Kimataifa au Kampuni ya Kimataifa ikiwa inaidai nchi fulani wakigundua vile vya Kukamata vyote vimeshakamatwa na Wadai wengine basi kinachofuata sasa ni Kumvizia Rais wa nchi au Makamu wake au Waziri Mkuu husika Siku nae akisafiri tu katika hizo nchi basi nae anakamatwa hadi Deni lao limalizwe Kulipwa?

Je hii ni kweli au Mwanamume nimelishwa tu Tango Pori name pia nikalila hivyo hivyo? Manake nilianza Kuogopa sasa nikijiuliza hivi Japan haitudai chochote labda kisha wakaamua kubaki nae Kassim na Kabudi wake huko huko Yokohama hadi Walipwe chao?

Karibuni Kimjadala.
Kati ya Watanzania milioni 55 hao wakibaki huko nchi itakosa wengine badala yao? Hata hapa Tanzania hakuna mtu ambaye akikosekana nchi itaadhirika kwa vyote vile labda ndugu zao tu ambao wanaweza kuwafuata hukohuko na maisha yakaendelea. Binadamu hufa na wengine kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom