Je wamkumbuka Soccer super hero huyu?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
robert.jpg
 
da jamaa kazeeka lakini alikuwa c mchezo kwa wale tuliobahatika kumuona 1994 snd before that
 
Nakumbuka world cup 1994 kule USA,aliwafunga Nigeria bao la penati ktk dk za nyongeza 30,na Italy wakaingia robo fainali baada ya kuwa nyuma bao 1-0 hadi dk 88 ambapo Baggio alisawazisha na wakaenda extra time akawafunga kwa tuta Nigeria.
 
Jumapili saa 5 na dk 45 usiku kwa saa za afrika mashariki,ni pambano kati ya wapinzani wa jadi wa jiji la Milan,Italy pale Giusseppe Meazza,Inter Milan vs AC Milan,timu zote mbili aliwahi kuchezea Baggio,na pia alichezea ukiongezea na Juventus "AJUZA" (THE OLD LADY OF TURIN,THE GIRLFRIEND OF ITALY,THE LADY KILLER,THE ZEBRAS,THE WHITE BLACKS)
 
Alikuwa akilindwa na kuungwa mkono na makundi ya MAFIA MOB ambayo kwa namna moja au nyingine yalikuwa yakifaidika na umaruufu wake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom