Nakumbuka world cup 1994 kule USA,aliwafunga Nigeria bao la penati ktk dk za nyongeza 30,na Italy wakaingia robo fainali baada ya kuwa nyuma bao 1-0 hadi dk 88 ambapo Baggio alisawazisha na wakaenda extra time akawafunga kwa tuta Nigeria.
Jumapili saa 5 na dk 45 usiku kwa saa za afrika mashariki,ni pambano kati ya wapinzani wa jadi wa jiji la Milan,Italy pale Giusseppe Meazza,Inter Milan vs AC Milan,timu zote mbili aliwahi kuchezea Baggio,na pia alichezea ukiongezea na Juventus "AJUZA" (THE OLD LADY OF TURIN,THE GIRLFRIEND OF ITALY,THE LADY KILLER,THE ZEBRAS,THE WHITE BLACKS)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.