Je, waliorisiti wanaweza kuchaguliwa na NACTE?

brian mweusi

Member
Feb 11, 2019
12
3
Wana JF habari,

Mimi nmemaliza form 4 mwaka 2017 nilipata matokeo ambayo sio mazuri sana, nlipata F ya math na D 3 na C tatu. Nikaamua kurisiti mwaka 2018 na kufanya math ambayo nlikua na F na nkachagua civic D na chemistry D

Baada ya matokeo kutoka nilipata C kwenye math na chemistry ila civics ilibaki D, vigezo ambavyo ninavyo kwa sasa ni math C, chemistry C ,bios C, phy D ,English C .

Je, ninaweza kuchaguliwa na NACTE kwenye course ya clinical medicine? ninaomba kujulishwa na nmeapply vyuo vitano.
 
Utachaguliwa mkuu usihofu ila ni bora ungeomba na private pia ili kujihakikishia nafasi zaidi maana huko nacte ushindani uliopo sio poa na wanaanza kuchagua wale wenye ufaulu wa juu.
 
Back
Top Bottom