Je, waliompiga Tundu Lissu risasi, haiwezi kuwa ni revenge?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Yameongewa mengi sana khs kuishambuliwa kwa Tundu Lisu na wengi wao wameelekeza lawama zao upande mmoja tu, yaani kwamba Tundu Lisu ni ,,innocent“ na watu walitaka kumdhuru!

Lkn wote wanaohukunu hivyo Tundu Lisu wala hawamjui kiundani, yaani maisha yake binafsi, Je mnajuaje kama ilikuwa ni revenge? Labda alidhulumu mtu, labda alizaa na Mke wa mtu na Mume wa Mwanamke akaamua kurevenge, labda ni chadema na power struggle, who knows?

Ila nijuavyo mimi hakuna anayepigwa risasi namna ile bila ya sababu, kwani alikuwa targeted ina maana kuna kitu alifanya ambacho hata yeye anakijua, sasa kama kilistahili yeye kupewa hiyo adhabu, jibu analo yeye Tundu Lisu, lkn ni lazima kuna kitu alifanya mahali, ...
 
Alphonse Mawazo
Ben Saanane
Mbwambo (wa Usa Arumeru)
Mwandishi wa mwananchi Kibiti
Miili kwenye viroba
Wote hawa waliiba wake za watu?
Give me a break and don't insult our intelligence
 
Yameongewa mengi sana khs kuishambuliwa kwa Tundu Lisu na wengi wao wameelekeza lawama zao upande mmoja tu, yaani kwamba Tundu Lisu ni ,,innocent“ na watu walitaka kumdhuru!

Lkn wote wanaohukunu hivyo Tundu Lisu wala hawamjui kiundani, yaani maisha yake binafsi, Je mnajuaje kama ilikuwa ni revenge? Labda alidhulumu mtu, labda alizaa na Mke wa mtu na Mume wa Mwanamke akaamua kurevenge, labda ni chadema na power struggle, who knows?

Ila nijuavyo mimi hakuna anayepigwa risasi namna ile bila ya sababu, kwani alikuwa targeted ina maana kuna kitu alifanya ambacho hata yeye anakijua, sasa kama kilistahili yeye kupewa hiyo adhabu, jibu analo yeye Tundu Lisu, lkn ni lazima kuna kitu alifanya mahali, ...
Mnawaweweseka sana CCM kuhusu tundulissu hamlali kucha kutwa mkitunga ngonjera zenu juu ya tukio la Lissu kwa kifupi Lissu amepigwa risasi 7bu ya kumkosoa dikteta uchwara magufuli na CCM yake na hiyo ndiyo sababu kuu
00e87c68c3298fe3f3fbd7db1b601fa0.jpg
 
Back
Top Bottom