Je walio mbali na vituo walivyojiandikishia kupiga kura hawawezi hata kumchagua Rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je walio mbali na vituo walivyojiandikishia kupiga kura hawawezi hata kumchagua Rais?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by consigliori, Oct 16, 2010.

 1. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF naomba kuelimishwa katika hili. Watu mbalimbali wanadai kuwa watu ambao wako mbali na sehemu walizojiandikisha kupiga kura, hawawezi hata kumchagua rais, wengine wanasema wanaweza kumchagua rais isipokuwa diwani na mbunge. Lipi ni sahihi?
   
Loading...