Binman
Member
- Jul 17, 2016
- 68
- 30
Jamani wan jf habari.. Kuna ishu inanichanganya,, kwa wale waliomaliza form six 2016 na wakapandishiwa vigezo vya kwenda chuo kikuu. Vikawa ni kuanzia D mbilii..
But kuna rafiki zangu ambao hutukufanikiwa kupata hizo D mbili.. Na tukapata division 3..
Sasa wengne wameenda kusoma degree nje ya nchi,, I mean wametafuta scholarship na wakapata,,, swali langu. Je wakirudi bongo na wakaomba kazi watapata??
Na wakati vgezo vya kwenda chuo kikuu hawakupata???? Kwamba cheti cha form six kitawaharibia kama wakikagua..