Zaidi wataishiwa hela za manunuzihakuna kitakachofuata maana hawawezi kumaliza kununua wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi wataishiwa hela za manunuzihakuna kitakachofuata maana hawawezi kumaliza kununua wapinzani
Nakujib swali la kwanza, kuwa ccm inajiamin maana serikali n ccm, jesh ni wao, mahakama ni wao, usalama ni wao, n.k
Sasa kwann wasijiamin
Umeuliza vema kbsa.Kosa la Chadema ni kuingiza Mamluki 2015 na kuacha vijana waliokulia bavicha.Ukiangalia Siha,Ukonga,Monduli wote waliojitoa walikuwa ccm walijitoa 2015.Cha kusikitisha Ss Monduli wanampigia chapuo Fredy Lowasa ambao ni walewale wasio na mizizi ya chadema.Swali ni je mfano Monduli hakuna vijana au watu walijenga chama toka zamani enzi ya Dr Slaa wa 2008?
Hata Dr. Slaa ametokea CCMUmeuliza vema kbsa.Kosa la Chadema ni kuingiza Mamluki 2015 na kuacha vijana waliokulia bavicha.Ukiangalia Siha,Ukonga,Monduli wote waliojitoa walikuwa ccm walijitoa 2015.Cha kusikitisha Ss Monduli wanampigia chapuo Fredy Lowasa ambao ni walewale wasio na mizizi ya chadema.Swali ni je mfano Monduli hakuna vijana au watu walijenga chama toka zamani enzi ya Dr Slaa wa 2008?
Waliotoka zamani tofauti wengi waliotoka na lowasa ilikuwa ni upepo tazama list ya madiwaniHata Dr. Slaa ametokea CCM
WanaJF, nimetafakari sana katika hiki kipindi cha misukosuko Kwa viongozi wa upinzani na raia lakini badò kichwa haijatulia Kwa sababu majibu sipati.
1. Kwa nini CCM inajiamini namna hiyo?
2. Kwa nini Serikali inatumia nguvu kubwa kuwazibiti upinzani na kujifunika na shuka la kufuata sheria wakati tunaona viongozi wengi wa Serikali na CCM wanavunja sheria hadharani?
3. Je Serikali inajiamini kuwa katika Jeshi ndani yake hakuna wanaowapenda wapinzani au hakuna wapinzani lakini upo rohoni au hawana ndugu au watoto ambao ni wapinzani?
4. CCM Kwa nini hawajiulizi watu wanakichukia chama chao? Ni nani anapenda kufanyiwa mabaya na kama hawataki mabaya Kwa nini wanawafanyia wapinzani na raia wake hivyo. Ukiangalia ajira hakuna, watu wanafukuzwa makazini, watu wamevunjiwa nyumba, wanafunzi kunyimwa mikopo. Haya aliyafanya nani au ni nani anatakiwa afanye?
5. Kwa nini Serikali haisikilizi kilio cha wananchi wake kuhusu ajira na hali ngumu ya maisha?
6. Lengo lao Kwa wananchi na viongozi ambao hawaiungi mkono CCM ni nini? Kwa nini wanapenda watanzania wote tuwe ndiyo? Maendeleo hayawezi kuletwa na upande mmoja hata siku moja. Na tukikubali kunyamazishwa tumekwisha. Kwa Kweli wananchi wa Buyungu wameonyesha ujasiri mkubwa na kutoa hisia na matumaini Kwa upinzani na tunategea kupata viongozi wenye damu ya upinzani.
Hatujui hatima ya wapinzani na raia ambao watakomaa bila kwenda upande wa pili. Mungu ibariki Tanzania.

CCM wanafanya haya kwasababu mbili sababu ya kwanza ni kuwafunga macho jumuiya ya kimataifa waweze kuamini kwamba CCM 2020 haijaiba kura imeshinda kihalali jambo la pili ni wanataka wawe na adui mmoja tu cuf (zanzibar) ili iwe rahizi kwao kuwashughulikiya ujuwe cuf 2020 bado itakuwa na mgogoro na wagombea wake hawatakubaliwa isipokuwa wa lipumbb tu kwa hivyo uwezekano upo wa wagombea wa cuf kusimama kama wangombea wa chadema na hapo ndipo itakapo kuwa shida kwa ccm ndio maana wanafanya mikakati hii na ikishakuwa bara hakuna mpizani jeshi lote litapelekwa zanzibar hiyo ndio mipango ya ccmWanaJF, nimetafakari sana katika hiki kipindi cha misukosuko Kwa viongozi wa upinzani na raia lakini badò kichwa haijatulia Kwa sababu majibu sipati.
1. Kwa nini CCM inajiamini namna hiyo?
2. Kwa nini Serikali inatumia nguvu kubwa kuwazibiti upinzani na kujifunika na shuka la kufuata sheria wakati tunaona viongozi wengi wa Serikali na CCM wanavunja sheria hadharani?
3. Je Serikali inajiamini kuwa katika Jeshi ndani yake hakuna wanaowapenda wapinzani au hakuna wapinzani lakini upo rohoni au hawana ndugu au watoto ambao ni wapinzani?
4. CCM Kwa nini hawajiulizi watu wanakichukia chama chao? Ni nani anapenda kufanyiwa mabaya na kama hawataki mabaya Kwa nini wanawafanyia wapinzani na raia wake hivyo. Ukiangalia ajira hakuna, watu wanafukuzwa makazini, watu wamevunjiwa nyumba, wanafunzi kunyimwa mikopo. Haya aliyafanya nani au ni nani anatakiwa afanye?
5. Kwa nini Serikali haisikilizi kilio cha wananchi wake kuhusu ajira na hali ngumu ya maisha?
6. Lengo lao Kwa wananchi na viongozi ambao hawaiungi mkono CCM ni nini? Kwa nini wanapenda watanzania wote tuwe ndiyo? Maendeleo hayawezi kuletwa na upande mmoja hata siku moja. Na tukikubali kunyamazishwa tumekwisha. Kwa Kweli wananchi wa Buyungu wameonyesha ujasiri mkubwa na kutoa hisia na matumaini Kwa upinzani na tunategea kupata viongozi wenye damu ya upinzani.
Hatujui hatima ya wapinzani na raia ambao watakomaa bila kwenda upande wa pili. Mungu ibariki Tanzania.
ndio mfumo ulivo hvyo bado tunatembelea nyayo za ujamaa zinazosema serikal na chama tawala ni ndugu wa damu.Kama ndiyo hivyo kujiamini tuombe tafsiri ya Serikali na chama. Nasema hivi nikiwa na maana kazi nyingi za chama cha CCM zinafanywa na Serikali. Mfano mahakama, jeshi, madaktari, walimu NK hivi ni vyombo vya Serikali na kazi yao ni kusimamia na kutekeleza kazi za wananchi wote na kulinda raia. Lakini mbona kuna ukakasi wa kuonea upande mmoja wakati kwenye kodi raia wote wanatoa na isitengwa kiasi hiki ni cha wapinzani na hiki ni cha chama tawala?