Je, wakijua chanzo cha usingizi?

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
 
Wale wanaofanya meditation
Wanakaa mpaka dk 60 kwanini hawasinzii?
Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.

Another question
 
Jibu lako si lakitaalum kabisa ati chanzo nikajua utaeleza formation ya huo usingizi we unaleta dakika tu.. ngoja waje wakuchambeling wenye usingizi wao..😂
 
Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.

Another question
Mbona hayo ya kusema kuto hangaisha fikra hukuyaelezea?

naona umeongelea dakika tu.!
 
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.
Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.
Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Aliyemwambia naye kajitungia
 
Hao hua wanafanya hivyo huku wakiwa na hisia juu ya kitu flani.
Kwahiyo hapo kikawaida hawatulii hua Bado wanahangaisha fikra zao
Hii Ni kwa sababu hawasinzii.

Another question
Meditation zipo nyingi, lkin msingi wa mengi ni ku freee mind yako, dhana ya kuhangaisha fikra zao si kweli.

Nikujuze tu, kuna watu wanaweza kushiriki matendo huku usingiz una wakamata, mnacheza karata, mnasoma, mnatembea, lkn mtu aka tekwa na usingizi matata sana.

Labda useme kuna uwezekano wa mtu kupatwa na usingiz akiwa ametulia tu, Lakini isiwe kuwa ukitulia ndio condition ya lazima kuleta usingizi
 
Chanzo cha usingizi ni sukari.. Wanga unapozidi mwilini mwako ndio husababisha usingizi.
Ndio maana unakuta watu wengi husinzia mara baada ya kula.
Ukitaka usipate usingizi, usile vyakula vya wanga.
Kama una wasi wasi na nadharia yangu, kaa siku mbili bila kula vyakula vya wanga wala sukari.
We kula nyama, maziwa mboga za majani nk, uone kama utapata usingizi.
Mwisho kabisa: Usingizi ni mtamu kwa kuwa unatengenezwa na sukari ambayo ni tamu!
 
Nadhani kwanza lazima uwe na huo usingizi ndio ndani ya dk 15 utakuwa umelala fofofo! Ila kama huna usingizi sidhani kama utaeza lala hata ukifunga macho bila kujitikisa kama unavyosema.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Umefanya research au?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Uliyoyaandika ni ya uongo na hata kama yakitaka yawe yana kaukweli fulani basi hiyo nyongeza yako ndo inaharibu na kubaki kuwa umeandika uongo mtupu

Umesema ukitulia dk 15 usingizi mara tena unasema ukitulia kwa 'muda huohuo' (meas dk15 zilezile) basi utasinzia 'mapema zaidi'. So, what an exact time?
 
Acha uongo wewe......
Mbona wanafunzi darasani muda wote wanahangaisha fikra zao lakini wanasinzia wakati wa vipindi??
Au wabunge wakati wa vikao vya bunge??
 
.
Mada yako ingependeza kama ungesema kwanini mtu akisinzia anaona giza? ila sio wote wengine tunaona mambo mazuri sana!
 
Back
Top Bottom