Je wajua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Oct 4, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ndugu zangu leo nimabahatika kusoma source moja ambayo naileta kwenu.

  Dr. Wilbrod Slaa aliongoza kwa ushiriki Bungeni katika kipindi cha bunge lililopita. Katika kitabu kiitwacho je wanafanya kazi kwa ajili yetu? Mambo nanekuhusu wabunge Tanzania. By Uwazi, pata picha kamili (www.uwazi.org) Ukurasa wa 6, kimeonesha kuwa Dr. Wilbrod Slaa anapata nafasi ya juu kabisa ya utendaji Bungeni kuliko wabunge wote akiwa na jumla ya ushiriki 268: ameuliza maswali ya msingi 33, maswali ya nyongeza 106 na michango 129. wapili ni Mgana Msindai akifuatiwa na George Lubeleje.

  Wakati huo huo wabunge walioongoza kwa kukaa kimya bungeni katika kipindi hich ni Dr. Hussein Mwinyi, Edward Lowasa na Rostam Azizi. Wote hawa waliuliza maswali ya msingi 0, maswali ya nyongeza 0 na michango 0 katika kipindi cha miaka mitano.

  Kumbe ukianza kwa bidii, maliza kwa bidii. Dr. Slaa alianza kwa bidii, akamaliza kwa bidii ndiyo maana CHADEMA wakathubutu kumweka kuwa mgombea wake wa Urais mwaka 2010. Ni mchapa kazi tumchague. karibuni jamvini... :hat:

  Taarifa zaidi ziko www.bunge.go.tz

   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndio maana ataongoza kwa kura za Urais pia
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hata tukimpa uraisi atjituma kwa bidii
   
 4. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe pia kuna wanaoenda bungeni kupumzika. How can a representative sit in the parliament for 5 yeras without contributing anything? Kwa mfano watu wa Igunga wamefaidika nini na mbunge wao ambaye hakuwahi kufungua mdomo kwa miaka mitano? Kuna umuhimu gani kwa mtu kama huyo kurudi bungeni???? Inatia hasira!!:A S 13:
   
 5. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ROSTAM.jpg
  Rostam Mwenyewe huyu hapa. Alikaa miezi 60 bungeni bila kufungua mdomo
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kazi yao nikutafuta njia za kutafuna nchi tuu
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  MUDA MWINGI ANATUMIA KUENDELEZA MTANDAO WA WIZI TU.Huwa yuko buzzy na message za kifisadi.Namshangaa hajaanza kuandaa pa kukimbilia anafikiri chama fisadi bado lina nafasi ya kurudi madarakani
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,813
  Trophy Points: 280
  vimesema vitampa kura tena ,wameshapewa kofia au hujaviona kwenye picha?
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watu wa igunga wanajivunia naye kwa sababu anaendekeza uvivu kwa kuwasaidia vi-misaada vidogo vidogo vya hela za kusomeshea watoto na kujanga nyumba. Wananchi wa ingunga hawajui kuwa huyu ndiye mbunge anayewafanya kuwa wavivu kuzidi mtu yeyote duniani!! Mbaya zaidi anawafanya kuwa wavivu wa kufikiri!!!

  Heeee!!!
   
 10. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  halafu kwanini habari kama hizi haziwi available to the public? Sijawahi kuona gazeti limeandika makala kwa habai kama hizi.
   
 11. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Duuuuuuuuuuuuhhh!
   
 12. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thumb up Dr.Slaa
   
Loading...