EthanMallaky
Member
- Oct 28, 2017
- 57
- 30
je wajua Tanzania mi nchi pekee Africa iliyobarikiwa kuwa na rasilimali Asilia nyingi zaidi??
swali ni je watanzania tunahusika vipi kutunza rasilimali zetu,au tunaishia kulaumu viongozi wa serikali tuu!!kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika.