Je wajua?

Dereva Suka

Senior Member
Sep 25, 2014
176
289
1. Kama ulinunua/utanunua gari ikiwa haina ngao usithubutu kuiwekea kwasababu *ngao huwekwa kwenye magari ambayo safari zake au matumiz yake mara nyingi sio ya mjini kwenye pilika pilika za watu *bampa za magari yanayotumika sana maeneo yenye watu huwa ni laini kwan endapo utamgonga binadam basi uwezekano wa kumuumiza kwa kiasi kikubwa ni mdogo ukilinganisha na ambaye amegongwa na gari yenye ngao.

2.Mtoto mdogo kukaa siti ya mbele ni hatari sana endapo litatokea la kutokea na AirBags zikalipuka...mtoto hana uwezo wa kuhimili mlipuko wa Airbag.

3. Mkanda wa usalama endapo utapita kwa kujinyonga nyonga kifuani basi huo sio mkanda wa usalama tena bali ni mkanda wa hatari kwani ikitokea ajali uwezekano wa kuumiza kifua chako ni mkubwa mno...hakikisha mkanda umepita kifuani kwa mapana yake.

3. Hata kama umefunga mkanda...uendeshaji wa mwendokasi kupita kiasi bado mkanda hautakusaidia...dont take an advantage of safety belt to over speeding.

4. Hakikisha kiegemeo cha kichwa katika siti za watu wote ndani ya gari kipo sawa kulingana na urefu wa mtu...hapa namaanisha kichwa kisiwe kimepita kiegemeo kwani endapo itatokea gari imegongwa kutokea nyuma basi kuna uwezekano mkubwa wa shingo kushtuka au kuvunjika na kusababisha kifo au paralysis. Kiegemeo ni muhimu sana na wala sio urembo. Wakati mwingine waweza tumia kiegemeo kama silaha ya kujihami na adui au unaweza ukatumia kuvunja kioo endapo milango imejiloki.

5. Ukitembea na watoto(hasa watoto wadogo) ndani ya gari hakikisha unashuka nao na kwenda nao popote pale hata kama unaenda kununua maji na kurudi....Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kupata tatizo lolote ukiwa umetoka ....hata kama gari lina AC na umeliacha ON magari ni machine sio la kuliamini sana laweza kuzima muda wowote na watoto wakakosa pumzi...na ukisema uache vioo wazi kuna kuibiwa kwa gari au vifaa vilivyopo ndani.

Kwa haya machache naamini kwa ambae alikuwa hajui basi amepata nafasi ya kujifunza.

With regards.
 
Asante sana kwa elimu hii
 
Mkuu ufafanuzi kidogo kwenye namba 4....kile kiegemeo unakitumiaje kuvunja kioo
 
Back
Top Bottom